Nasi tupige honi kwa nusu dakika kuonyesha mshikamano against udhalimu!

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,374
wadau!
Wenzetu wa nchì jirani wameweza! Wamepiga honi leo kwa sekunde 15 nchi nzima kuanzia saa 6 mchana kupinga udhalilishaji kwa waandishi wa habari..nasi tujitoe kimasomaso ijumaa tupige honi saa 6 tupige honi kupinga kupitishwa mswada wa katiba kimabavku.mimi nitaanza pale askari monument na bajaj yangu nitapiga vuvuzela.wake up! Stand up! Lets unite! Tunasali na kuswali kanisani na misikitini ili Tupaze sauti moja na mungu atusikie! Lets sing it! Hata mwanafunzi mjinga darasani huwa hasikikizwi until he/she farts!
 
tuvae tisheti nyeupe au nyeusi pia kila jumamosi kusisitiza kwamba haturidhiki na hali ya sasa
 
Hii ni simple sana, tena tunagonga kama dakika tatu hivi nchi nzima itasaidia sana kutoa pamba maskioni bibi Kiroboto Makinda. Ifanyike lini waungwana? Mimi ni Isuzu TXD ina yale mahoni ya kizamani full kelele.
 
Honi zetu zitawasumbua watoto na wagonjwa walio mahospitali. Nawashauri mtafute njia nyingine hiyo si salama.
 
iliyo salama ni kumaliza dawa za tb wagonjwa wafè na nyie akina mzee kwenda kutibiwa mafua india
 
tuvae tisheti nyeupe au nyeusi pia kila jumamosi kusisitiza kwamba haturidhiki na hali ya sasa

Huu utakuwa ni mshikamano mzuri sana na ninaamini utatambaa nchi nzima baada ya muda si mrefu na kuwa tishio kubwa kwa Serikali taahira na chama chao cha magamba/manyang'anyi
 
Arusha kulikuwapo "Operesheni washa Taa Mchana".
Hili hii ya kupiga honi ifanikiwe lazima
1. Tusambaze vipeperushi kila mahali(madereva wengi wa daladala na toyo hawako JF)
2. Pia kwenye social networks(i.e facebook, twitter, four square etc) sambaza ujumbe
3. Ikiwezekana text message zitumike, kama zile watu walikuwa wakiforward kila saa).

Wakumbushe kulock milango ya magari yao na vioo. Polisi wakorofi hawashindwi kuwatoa kwa magari yao(japo katiba nahisi hairuhusu)
 
Arusha kulikuwapo "Operesheni washa Taa Mchana".
Hili hii ya kupiga honi ifanikiwe lazima
1. Tusambaze vipeperushi kila mahali(madereva wengi wa daladala na toyo hawako JF)
2. Pia kwenye social networks(i.e facebook, twitter, four square etc) sambaza ujumbe
3. Ikiwezekana text message zitumike, kama zile watu walikuwa wakiforward kila saa).

Wakumbushe kulock milango ya magari yao na vioo. Polisi wakorofi hawashindwi kuwatoa kwa magari yao(japo katiba nahisi hairuhusu).
 
wazo zuri,vipeperushi,punch,sms
 
Hii ni simple sana, tena tunagonga kama dakika tatu hivi nchi nzima itasaidia sana kutoa pamba maskioni bibi Kiroboto Makinda. Ifanyike lini waungwana? Mimi ni Isuzu TXD ina yale mahoni ya kizamani full kelele.
Honi hazitoshi. Impact kubwa itakuwa Dar. Mikoani na vijini itakuwa kidogo kwa sababu magari ni machache na wenye nayo ni wafuasi wa magamba au waoga kwa kulinda maslahi. Kila mtu agonge kitu kinachoweza kutoa kelele kama masufuria, vjiko, pana, vuvuzela, honi, vigelegele, n.k. Kwa muda kama dakika kumi kuwe ni chaos tupu. Baada ya hapo kila mtu aendelee na mambo yake. Sidhani kama polisi watakuwa kila mahali kukamata kila mtu. Watawaweka mahabusu gani?
 
mkuu kijijini nani atawasikia? Mambo yote Dar,Mwanza,Mbeya,Arusha,Moshi.daladala na bodaboda zikishiriki watapata ujumbe coz wanasiasa wengi wapo mijini na pale Dom walipokusanyika sasa
 
Back
Top Bottom