Hoja ya wingi wa wabunge wa chama tawala CCM, hivi Lyibia na Misri vyama tawala walikuwa wachache? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hoja ya wingi wa wabunge wa chama tawala CCM, hivi Lyibia na Misri vyama tawala walikuwa wachache?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Soki, Nov 16, 2011.

 1. S

  Soki JF-Expert Member

  #1
  Nov 16, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  CCM wanapojisifia wingi wao bungeni katika Tanzani kama hoja ya kwamba hakuna kinachoweza kutokea kwa sababu wanao waungaji mkono wengi nyuma yao, mimi nauliza; kwani katika bunge la Lyibia wabunge wengi walitoka chama tawala au pinzani?
  Na Misri nako ilikuwaje?
   
 2. d

  dotto JF-Expert Member

  #2
  Nov 16, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mbeya yenyewe walishindwa itakuwa KAtiba. Lazima ushindi upo.
   
Loading...