Mlima Kilimanjaro washindwa kwenye fainali za New 7 Wonders of Nature | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mlima Kilimanjaro washindwa kwenye fainali za New 7 Wonders of Nature

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Inanambo, Nov 13, 2011.

 1. Inanambo

  Inanambo JF-Expert Member

  #1
  Nov 13, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,864
  Likes Received: 1,147
  Trophy Points: 280
  Wanajamii nimevunjika moyo Hatukuweza kuufanya Mlima Kilimanjaro ushinde kwenye maajabu Mapya ya asili ya Dunia. Akitangaza sehemu zilizoshida mwanzilishi wa Maajabu hayo Bernard Weber huko Zurich Swizerland aliyataja: kiimpangilio wa CONSONAT(ALPHABET)
  Amazon,
  Halong Bay,
  Iguazu Falls,
  Jeju Island,
  Komodo,
  Puerto Princesa Underground River,
  Table Mountain
  .
   
 2. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #2
  Nov 13, 2011
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  Kwani kuna nini cha ajabu mlima kilimanjaro uwe wa ajabu? angalia hizi picha za walioshinda utajua kwa nini wameshinda

  Jeju island
  [​IMG][​IMG][​IMG]


  Iguazu falls

  [​IMG]

  Halong bay

  [​IMG]
   
 3. B

  Bundajo JF-Expert Member

  #3
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 244
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Afadhali tumeshindwa kwasasbabu endapo tungeshinda basi CCM yalivyo mambumbumbu yangeitumia kujisifia kwenye kampeni za 2015.
   
 4. k

  kaka miye Senior Member

  #4
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 25, 2011
  Messages: 157
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Napita
   
 5. S

  Selungo JF-Expert Member

  #5
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Afadhali wakuu! Nilikuwa naomba mungu usiku na mchana mlima huu usiingie kwenye hayo maajabu. Hapa Chama cha Ma-Used kingepata agenda ya kuzuga waTz. Hata hivyo hizo pesa zinazo endelea kupatika kutoka kwa watalii kupitia mlima huo hatuja ona manufaa yake.

  Sana sana ni Vasco Da Gama na washkaji zake kuranda randa dunia nzima na kuonyesha ubitoz wake usio kuwa na tija kwa waTz. Nasema afadhali haukuingizwa kwenye hayo maajabu ya dunia. Kama ni barafu hata majokofu nyumbani si yana tengeneza? Cha ajabu nini?
   
 6. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #6
  Nov 13, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,173
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  Ulitegemea utashinda bila Lewis Makame na Rajabu Kiravu?
   
 7. T

  T.K JF-Expert Member

  #7
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 345
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kwani maajabu si maajabu tu?.....kitu kikiitwa maajabu, kipigiwe kura kisipigiwe bado kitaendelea kuwa maajabu.....huko kupiga kura ni wizi wa kuchukua visenti vya watu tu
   
 8. FIKRA MBADALA

  FIKRA MBADALA Senior Member

  #8
  Nov 13, 2011
  Joined: Jun 30, 2008
  Messages: 167
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tutashindaje wakati bado tunabishana kikwete sio rais au ni rais wakati huo mwenye akili zao wanapiga kura kuvutia kwao na bado
   
 9. FIKRA MBADALA

  FIKRA MBADALA Senior Member

  #9
  Nov 13, 2011
  Joined: Jun 30, 2008
  Messages: 167
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tukiendelea kubishana miaka yote juu ya kikwete tutakuta wajanja wakenya wamechukua mlima wetu na kuutangaza wa kwao. wajinga ndio waliwao
   
 10. Zuia Sayayi

  Zuia Sayayi JF-Expert Member

  #10
  Nov 13, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 834
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Nilijua tu..!
   
 11. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #11
  Nov 13, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Afadhari umeshindwa coz upigaji kura ulikuwa zima moto, miaka 50 ya Uhuru wizara ya Mali asili wamefanya nin? Kwa nini hawakuutangaza?
   
 12. FIKRA MBADALA

  FIKRA MBADALA Senior Member

  #12
  Nov 13, 2011
  Joined: Jun 30, 2008
  Messages: 167
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sijui ni chama kipi kimeleta sera ya kujadili urais bila kikomo. hatukujitokeza kupiga kura hata hapa jf hamasa ilikuwa kidogo wote tulidhani tunamkomoa kikwete muda wote tukijadili uhalali wake kuwa rais
   
 13. FIKRA MBADALA

  FIKRA MBADALA Senior Member

  #13
  Nov 13, 2011
  Joined: Jun 30, 2008
  Messages: 167
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni halali yetu tuendelee tu kujadili ccm na chadema bila kikomo ndio msingi wetu wa maendeleo na tuzidi kuweka maslahi binafsi hatutaangamia
   
 14. Baiskeli

  Baiskeli JF-Expert Member

  #14
  Nov 13, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 335
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mlima k,njaro ulikuwa ni wa kenya, waliona mlima sikitu muhimu sana kama bandari, wakatupa mlima wakachukuwa mombasa.
   
 15. FIKRA MBADALA

  FIKRA MBADALA Senior Member

  #15
  Nov 13, 2011
  Joined: Jun 30, 2008
  Messages: 167
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huu ndio mchango wako kwa taifa lako hongera. wewe umefanya nini kwa nchi yako na ulihamasisha wangapi wapige kura. hakika umefika kikomo cha fikra zako
   
 16. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #16
  Nov 13, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,173
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  urais feki utajadiliwa mpaka ukomo wake.
   
 17. FIKRA MBADALA

  FIKRA MBADALA Senior Member

  #17
  Nov 13, 2011
  Joined: Jun 30, 2008
  Messages: 167
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa mtanzania hapo ndio umepiga kura kazi kubishania ya kale mapya hatuna habari nayo unaleta hadithi za kale kesho utasema kuna ombwe la uongozi
   
 18. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #18
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  shindano lilianza tangu 2009, iweje wao watujulishe 2011 tena mwezi mmoja kabla ya deadline. Washenzi kabisa, na bado. Walitaka huo uwe mtaji wao wa kisiasa 2011
   
 19. FIKRA MBADALA

  FIKRA MBADALA Senior Member

  #19
  Nov 13, 2011
  Joined: Jun 30, 2008
  Messages: 167
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni sera yenu hakuna wa kukuzuia mwisho utakuta nchi yote imeliwa
   
 20. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #20
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,778
  Likes Received: 36,765
  Trophy Points: 280

  Safi sana, kwani ingeshinda nani ananufaika na hilo hapa tanzania??
   
Loading...