Kamanda Lema achafua hali ya hewa kwa sekunde chache bungeni.....

Status
Not open for further replies.

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
...Leo wakati wa maswali na majibu yakiendelea ghafla KAMANDA LEMA aliingia Bungeni na wabunge wa upinzani wakaanza kupiga meza zao,wakati huo waziri Lazaro Nyalandu alikuwa anajibu swali la Mbunge mkosamali.Baada ya kusikia makofi hayo m/kiti wa bunge Jenista Mhagama akaanza kumind kwanini wanapiga kelele wakati waziri anajibu swali,WABUNGE WAKASEMA LEMA KAINGIA,akajifanya amepuuza na akasema hebu kaeni kimya tumsikie waziri.

Jamaa ni jembe wakuu....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom