Kwa nini CCM inaogopa Tanzania kuwa na tume huru, kupunguza madaraka ya rais? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini CCM inaogopa Tanzania kuwa na tume huru, kupunguza madaraka ya rais?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Magobe T, Nov 16, 2011.

 1. M

  Magobe T JF-Expert Member

  #1
  Nov 16, 2011
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 180
  Katika mjadala wa bunge unaoendelea kuhusu muswada wa mchakato wa Katiba Mpya, ni dhahiri kuwa wabunge wa CCM wanaogopa kama kutaundwa tume huru ya kukusanya maoni. Tume huru maana yake - yenye uwakilishi mzuri wa wadau mbalimbali na isiyoweza kuegemea upande mmoja ili kusiwepo malalamiko kila mara katika nchi yetu. Pili, wanaogopa rais kupunguziwa madaraka, ambayo wadau mbalimbali wametaka yafanyike.

  Katika mambo ya msingi ambayo wadau mbalimbali wamesema yafanyiwe marekebisho lakini serikali imekataa na kusema yabaki vilevile. Huku kukataa maoni ya wananchi kutoka vikundi mbalimbali vya kijamii, wasomi, wanasheria na wananchi kuna agenda ya siri.

  Kwa maoni yangu, naona CCM wanaona kukiwa na tume huru chama chao kitaanguka na hivyo hawataki kiachie ngazi!
   
 2. J

  Jobo JF-Expert Member

  #2
  Nov 16, 2011
  Joined: May 15, 2008
  Messages: 588
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  You are very right! Hawataki kuchimba kaburi wakiwa hai!
   
 3. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #3
  Nov 16, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  CCM KICHWA CHA MWENDA WAZIMU! Watapambana ila watashindwa!
   
 4. w

  watofauti Member

  #4
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Ningependa nieleweshwe ni jinsi gani hii tume huru itapatikana Tanzania.kama rais asipoiteua itaenda bungeni idadi ya wanaccm huko wapinzani watasusa,nani anayeaminika apewe hiyo kazi?
   
 5. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #5
  Nov 16, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,065
  Likes Received: 1,803
  Trophy Points: 280
  ni dhana tu broda... kila uchaguzi ukifanya kuna international observers na watatoa +ve reports .. sijui mnataka nini cha ziada... Bado sijaona chama mbadala cha kushika madaraka esp. CDM ndio kabisaa! udini, ukabila , vurugu , mbunge mmoja wa cdm anashinda facebook akitoa updates siku ya kuzindua ile album yao chafu!...
   
 6. PROF. ENG

  PROF. ENG Senior Member

  #6
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana madhambi mengi. Kwahiyo wanaogopa kumpa mfupa FISI.
   
Loading...