NI dhahiri sasa Tanzania inahitaji kura ya maoni ili kuamua mustakabali wa Muungano.Tunathubutu kutamka haya kwa sababu ya hali inayotokea nchini wakati wa kuanzisha mchakato wa kupatikana kwa...
Uwekezaji wa Umeme wa Upepo mnaousikia, umegubikwa na utata mtupu.
Kampuni zinaingia kinyemela, watu wanatoka moja kwa moja nje ya nchi na kufika kijijini kulaghai wananchi, viongozi wa serikali...
Wanaharakati Kisiwani Mafia wamedhamiria kuishtaki serikali pamoja na DC wa wilaya hiyo endapo sheria itakiukwa kwenye kushughulikia malalamiko ya wananchi wilayani hapa. Hayo yameelezwa leo pale...
Wanaharakati wa Tanzani, Wanasheria, Wanasiasa. Kesho ni siku rasmi ya kuanza kudanganywa wananchi wa vijiji vya Kisaki, Ughaugha A, Ughaugha B, Unyamikumbi A, Unyamikumbi na Kisasida kuanza...
Leo katika mahakama kuu ya arusha ilikua ni siku ya kusikilizwa kesi ya inayomkabili Mh. Lema na wanachadema arusha. Kesi imehairishwa mpaka tarehe 20.
Nje ya mahakama Mh.Lema akaongea na...
Baada ya CHADEMA KUUNDA KAMATI NDOGO itakayokutana na Rais Kikwete kuhusiana na Katiba, CCM nao wamesema wataongelea hatua hiyo katika vikao vyao vya kamati kuu, na hatimaye watapanga nao kwa...
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Mwanza imetupilia mbali kesi ya pingamizi uchaguzi wa ubunge Jimbo la Mwibara mkoani Mara, iliyofunguliwa na mgombea ubunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...
haya sasa, muda mfupi hujao John Mnyika atakuwa CH 10 kuzungumzia kutoka kwao bungeni wakati wa kusomwa mswada wa katiba. watakuwepo kwenye TV waendee kuhabarisha.
Rais wangu kikwete(ingawa mwakajana ckukupa kura yangu),ume2kanwa sana,umelalamikiwa sana,wamekuchukia sana,ushauri wangu rudisha heshma yako na imani kwa watanzania na waamini unawasikiliza kwa...
DALLAS (AP) Former President George W. Bush will travel to Africa next month to raise awareness about cervical and breast cancer, an effort he calls a "natural extension" of a program launched...
Yapata miezi mitatu hivi iliyopita tumeshuhudia malumbano,matamko na kauli mbalimbali zikitolewa na viongozi wa kisiasa kutoka vyama mbalimbali vya siasa wakitoa misimamo yao juu ya namna ya...
Kesi nyingi za ufisadi ziko JMT na Watanganyika ndiyo watuhumiwa namba moja. Lakini kwenye SMZ mambo haya hapana sikia kabisi mimi. au yako chini ya kapeti? au wazenji wanapiga fita usifadi kwa...
Kwangu binafsi nilijua ile siku ya jumamosi jioni wangekuwa wamemaliza mchakato wa kujiuzuru kwa jinsi walivyo ihujumu Tanzania. Lakini mpaka saa hivi kimya au ndio kanyaga twende Watanzania ni...
By LEONARD MAGOMBA
Posted Sunday, November 20 2011 at 17:57
It is now clear that the journey to a new Constitution in Tanzania will be a bumpy one, going by the divergent approaches being...
Wana JF.
Sisi wana NCCR MAGEUZI tunajianda kumtumia rais Kikwete, barua rasmi ya kuomba kukutana nae.
Tujadiliane kuhusu rasimu ya katiba yetu.
Hii nchi ni yetu sote sio ya CCM wala Chadema...
Kamati kuu ya CCM inayokutana Dodoma itajadili nia ya Chadema kumwona JK.Je wanaweza sema noo asikutane nao? na Chadema kumwona JK kama Rais wa TZ ina nia gani hasa kwa taifa??
Mimi nadhani kwa...
Pamoja na maovu yanayozidi kujitokeza tz yakihusishwa na ubadhirifu mkubwa na upotevu wa fedha za umma usio na kifani...nchi ya tz kwasasa iko kwenye msiba mzito kiuchumi. hali hii tayari...
Haya yapo katika mfumo wa Uongozi wetu sasa (Mhe. Tundu Lissu mlimsikia aliponukuu maneno ya Hayati Baba wa Taifa Kuhusu Uongozi wetu na tulipofikia): Mamlaka ya Uteuzi ya Katibu Mkuu Kiongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.