CCM kujadili Chadema Kumwona JK

MAGEUZI KWELI

JF-Expert Member
Jul 16, 2011
1,947
253
Kamati kuu ya CCM inayokutana Dodoma itajadili nia ya Chadema kumwona JK.Je wanaweza sema noo asikutane nao? na Chadema kumwona JK kama Rais wa TZ ina nia gani hasa kwa taifa??
Mimi nadhani kwa hapa wamefikiria jema kwa kuitakia mema Tanzagiza inayotaka kuchakachuliwa..
Comment Please...
 
CCM ni kama hawajiamini kabisa, CDM wakiandamana shida, wakitaka kumuona rais shida. Yaani ni full nnchecheto.
 
Hii nchi ina mfumo mbovu sana. Watu wazima wanakaa chini kujadili kukutana na chama kinginge? What's so difficult?
 
,........sio mantiki (maoni yangu) kujadili watu kutaka kumwona rais wao; kama ndivyo basi ajenda za kujivua magamba zimewachosha;
Kamati kuu ya CCM inayokutana Dodoma itajadili nia ya Chadema kumwona JK.Je wanaweza sema noo asikutane nao? na Chadema kumwona JK kama Rais wa TZ ina nia gani hasa kwa taifa??
Mimi nadhani kwa hapa wamefikiria jema kwa kuitakia mema Tanzagiza inayotaka kuchakachuliwa..
Comment Please...
 
kaka hiyo habari hata mimi nimeiona kwenye tv but bado sijaamini kama huo ni msimamo wa chama cha magamba au ni huyu kiazi Nape alikuwa anatafuta tu ujiko pale kwa waandishi wa habari.si unakumbuka alishawahi kuropoka eti chama kina mpango wa kuwatimua EL,RA na EC baadaye akageuka.so usiziamini sana hizo habari
 
Kikao cha Leo:
AJENDA:
1. Kufungua kikao,
2. Kuhusu CDM kuonana na Mwenyekiti wa CCM,
3. Mengineyo kwa ridhaa ya Mwenyekiti,
4. Kufunga kikao.
 
Kamati kuu ya CCM inayokutana Dodoma itajadili nia ya Chadema kumwona JK.Je wanaweza sema noo asikutane nao? na Chadema kumwona JK kama Rais wa TZ ina nia gani hasa kwa taifa??
Mimi nadhani kwa hapa wamefikiria jema kwa kuitakia mema Tanzagiza inayotaka kuchakachuliwa..
Comment Please...

Mkuu hapo kwenye green; ni lazima (CCM) wafanye hivyo. Kuna tetesi kwamba Mwenyekiti wao huenda akaamua kujiunga na CHADEMA. Lazima wawe na mchecheto ati.
 
Nape anapotosha kijinga.CDM inataka kuonana na Raisi sio mwenyekiti wa CCM. Tatizo lao hawajui tofauti hapo ni nini. Napata mashaka na uwezo wao wa uelewa
 
Hii inaonesha CCM hawamuamini JK hata kidogo. Wanahofu anaweza kuwasaliti? hawa watu hawana msimamo mmoja kisera? mpaka kila kitu wakae na kuweka msimamo!?
 
Kamati kuu ya CCM inayokutana Dodoma itajadili nia ya Chadema kumwona JK.Je wanaweza sema noo asikutane nao? na Chadema kumwona JK kama Rais wa TZ ina nia gani hasa kwa taifa??
Mimi nadhani kwa hapa wamefikiria jema kwa kuitakia mema Tanzagiza inayotaka kuchakachuliwa..
Comment Please...

Huwa sipendi kumuita mtu muongo lakini huu ni uongo dhahiri shahiri, kuna nyuzi humu imeonesha mpaka barua ya Ikulu iliyokubali ombi la Chadema kukutana na Rais, sasa huu uzushi wako umeutowa wapi?

Hii hapa: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...kubali-kukutana-na-chadema-5.html#post2866786
 
Chadema wameamua kwenda kuomba ushauri kwa Mwenyekiti wa chama dume
 
Ccm hawajiamini,wanachotaka kujadi hakina mantiki kwani yule ndie kiongozi wa nchi,hapo maslai ya chama hayapo.

Back
Top Bottom