Yapata miezi mitatu hivi iliyopita tumeshuhudia malumbano,matamko na kauli mbalimbali zikitolewa na viongozi wa kisiasa kutoka vyama mbalimbali vya siasa wakitoa misimamo yao juu ya namna ya kuandaa na hatimaye kupata katiba mpya.wapo pia wanaharakati,viongozi wa madhehebu ya dini na ht watu maarufu walowahi kushika madaraka makubwa hapa nchini ambao bado wana ushawishi ktk jamii.napongeza sana hatua hiyo ya kutoa michango ya mawazo ktk hili.hofu yangu ni kwamba,kadri siku zinavokwenda vyama vya siasa ndivyo vinakuwa na ushawishi mkubwa kwenye suala hili. Je,ni katiba ya vyama au ya nchi??nawasilisha.