Mh Abou Jee kuna uhalali gani wa Katiba hii wakati mshirika wa huo Muungano wenyewe kizani(hayupo)?.Written by Hassan10 // 22/11/2011 // Habari // No comments
Mh Aboubakar acheza na Nyoka...
Ndugu wana jamvi, kwa taarifa nilizozipata toka kwa wafanyakazi wa chuo kikuu cha Dodoma, wamefurahia sana namna ambavyo CAG na Katibu kiongozi walivyoumbuliwa na kamati teule ya bunge.
Furaha...
Kabla sijaanza kutoa maoni yangu naomba ninikuu moja ya vyombo vya habari vya hapa nchini. Japo siyo lazima tuamini kila kinacho andikwa na magazeti yetu naamini kuna badhi ya taarifa ni muhimu...
mara baada ya bunge kumaliza kupiga kelele juu ya luanjo, binafsi amesema awezi kutoa coment yoyote kuhusu kauli za wabunge, lakini ngazi yake si ya kujadiliwa na mtu mwingine isipokuwa rais wa...
22 NOVEMBER 2011
*Taarifa ya Kamati ya maadili yaumiza kichwa wajumbe
Na Pendo Mtibuche, Dodoma
MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. Jakaya Kikwete, amefungua kikao cha Kamati Kuu ya...
VYOMBO vingi vya habari leo vimechapisha habari ya kustaafu kwa David Mattaka, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Ndege Tanzania(ATCL). Kiongozi huyo wa shirika hilo, aliitisha mkutano wa waandishi wa...
Tuesday, November 22, 2011, 5:44
Habari kuu, Mtanzania
*Nape hatarini kung'olewa uenezi
*JK ajipanga kuvunja makundi, mahasimu
*Wasiwasi watanda, kila mmoja na utabiri yake
Na Mwandishi...
Akiongea na gazeti la mwananchi katibu mwenezi wa CCM Nape Amekanusha kuwepo kwa ajenda ya kuufuta umoja huo katika vikao vya chama huko Dodoma. Nionavyo, kwa hali ilivyo hivi sasa katika chama...
Na. M. M. Mwanakijiji
Ndugu zangu Kitendawili kimetegwa nani atakitegua. Chama cha Mapinduzi kimetaka kutumia madaraka na wingi wake kufanya kile ambacho hakikuwa na hakijawahi kuwa ndani ya...
Ndugu Watanzania Wany'onge,
Nina masikitiko makubwa kwa hayo ambayo yanatendwa na walioshikilia dola. Kusomwa kwa mara ya pili kwa mswada na kushindwa kuwasikiliza walio wengi (Watanzania) kwa...
I was listerning to kipindi cha Jambo in which the AG of Tanzania and Mzee Waziri Wassira were interviewed by a TBC 1 staff on the issues related to Muswada wa Sheria ya Kubadilisha Katiba...
Nilikuwa nikuatilia kwa umakini sijakutana na maeneo yanayoongelea sera ya uchumi wa taifa kwa ujumla badala yake wameyapa nguvu zaidi sera za kisiasa wakati ili uwe na siasa safi na uongozi bora...
It is very concerning and disheartening that our members of parliament can not truly come together for the sake of the nation and have a civilized and constructive debate on how to construct this...
Tue Nov 22, 2011 12:50pm GMT
JOHANNESBURG Nov 22 (Reuters) - AngloGold Ashanti , the world's third-largest gold producer, said on Tuesday it expects capital expenditure to double to $1.5...
Rais Zuma: Afrika Kusini inakabiliwa na maandamano kupinga muswada tata
Maandamano ya kupinga muswada wa sheria wenye utata kuhusu kulinda taarifa za siri za serikali yameanza katika miji...
Nini maoni yako kuhusu hili kosa la wabunge wetu WOTE? Naungana na wanaosema hili kosa, lazima Rais wetu alisahihishe kwa kutokuweka sahihi iwe au bila mbwembwe hii katiba. Swala lianze upya kwa...
hawajawzea kutokeza katika vikao vya ccm vinavyo endelea huko dodoma.je hii hali tuichukulieje?
My take:
vikao vya ccm vimeanza kupoteza mvuto baada ya kuonekana havina manufaa kwa wananchi.mia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.