Mnyika on Channel 10 akifafanua kutoka kwao bungeni wakati wa muswada wa katiba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnyika on Channel 10 akifafanua kutoka kwao bungeni wakati wa muswada wa katiba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by NasDaz, Nov 23, 2011.

 1. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #1
  Nov 23, 2011
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  haya sasa, muda mfupi hujao John Mnyika atakuwa CH 10 kuzungumzia kutoka kwao bungeni wakati wa kusomwa mswada wa katiba. watakuwepo kwenye TV waendee kuhabarisha.
   
 2. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #2
  Nov 23, 2011
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  SWALI:KWANINI MLISUSIA BADALA YA KUENDELEA KUWA BUNGENI KUTETEA HOJA ZENU?

  JIBU: Kama tungebaki bungeni basi tusingeawatendea haki wananchi kv muswada haukutoa fursa ya maoni ya wanannchi.
   
 3. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #3
  Nov 23, 2011
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  Mnyika: tungeshiriki, ingekuwa ni kuhalalisha usomwaji wa muswada kwa mara ya pili.
   
 4. T

  T.K JF-Expert Member

  #4
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 345
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mnyika anasema alisimama ili atoe hoja ya kuahirisha mjadala, lkn wakapuuzwa
   
 5. T

  T.K JF-Expert Member

  #5
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 345
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mnyika anasema kuwa yale maelekezo ya bunge ya kutafsriwa mswaada kwa kiswahili ili wananchi wachangie hayakutekelezwa
   
 6. T

  T.K JF-Expert Member

  #6
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 345
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mtangazaji anauliza kwa nini CDM hawakufanya lobbing ili waungwe mkono badala ya kususia?
   
 7. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #7
  Nov 23, 2011
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  Muswada ulitolewa kwa wabunge dar november na hivyo haukupatikana muda wa kupata maoni ya wananchi kv tayari muda wa kwenda bungeni ulishawadia.

  KWANINI hamkujaribu kwanza kutafuta uungwaji mkono toka kwa wabunge wenzenu kutoka CCM na vyama vingine?!
  JIBU: Tulijaribu kutafuta uungwaji mkono ndani ya kamati lakini inaelekea tayari CCM na CUF walishakubaliana muswada usomwe kwa mara ya pili!
   
 8. T

  T.K JF-Expert Member

  #8
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 345
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mnyika anasema kuwa tangu kwenye kamati ilionekanaa wazi kuwa CCM na CUF walikubaliana lolote liwalo lazima mswada upite
   
 9. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #9
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,574
  Likes Received: 18,509
  Trophy Points: 280
  Asante kwa taarifa muhimu kama hii, JJ Mnyika ni miongoni mwa hazina kubwa ya Chadema, na binafsi, namuaminia kuliko!.
  Asante.
   
 10. T

  T.K JF-Expert Member

  #10
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 345
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mnyika alipoulizwa kwann hawakuwaface wabunge wa ccm ili kupata support?......anajibu kuwa wabunge wa ccm walipewa mkakati kuwa lazima mswadwa upite
   
 11. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #11
  Nov 23, 2011
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  SWALI: MLIJARIBU kuwashawishi wabunge wa CCM?

  Hapa Mnyika hana jibu la moja kwa moja isipokuwa tu anahisi isingekuwa rahisi kuwashawishi wabunge wa CCM kwa hofu inawezekana tayari walishakaa kama kamati kupitisha msimamo wao.

  .......S
   
 12. T

  T.K JF-Expert Member

  #12
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 345
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mnyika: hii tume inaayoundwa si tu ya kukusanya maoni bali tu kutengeneza rasimu ya katiba, sheria inaunda bunge la katiba, na kunaundwa mfumo wa kura ya maamuzi(referundum) ambayo itasimamiwa na NEC ya kiravu
   
 13. T

  T.K JF-Expert Member

  #13
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 345
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mnyika: tukiachia huu mchakato kupita tutakuwa na katiba mbovu
   
 14. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #14
  Nov 23, 2011
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  SWALI: Wahisani walikuja Dom kuonana na nyinyi? Kuna nini hapo?!

  JIBU: Wahisani walikuja kama walivyokuja watu wengine pale bungeni. hata hivyo, baada ya sisi kususia, walituuliza kwanini mlisusia badala ya kukaa bungeni ili kutetea hoja zenu?

  JIBU: ni sawa na taarifa ya awali hapo juu.
   
 15. T

  T.K JF-Expert Member

  #15
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 345
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mnyika anaulizwa kati kuu itaenda kuonana na rais wataongea nn?......anajibu kuwa wankwenda kumwona rais kwa sabb kikatiba yy ni upande wa pili wa bunge...hataki kuingia kwa ndani sana japo anasema watakwenda kumwambia rais asiusaini
   
 16. T

  T.K JF-Expert Member

  #16
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 345
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mnyika: katiba si mali ya cdm ni mali ya watanzania wote, cdm wanawakilisha maoni ya wananchi
   
 17. K

  Kiluvya2011 JF-Expert Member

  #17
  Nov 23, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 215
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
   
 18. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #18
  Nov 23, 2011
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  SWALI: KWANINi mnaenda kuona na rais?
  JIBU: muswada ule una sehemu mbili ktk utekelezaji wake. Sehemu ya kwanza ni bunge ambako tayari kazi yake imeshafanyika na uopande wa pili ni rais. Tunaenda kuonana na rais ili kumuomba asiusaini. Kama rasi atakosea akasaini, na kv sheria inasema itaanza kufanya kazi dec 01, bado ana uwezo wa kuahirisha pamoja na kwamba ameshasainki
   
 19. K

  Kiluvya2011 JF-Expert Member

  #19
  Nov 23, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 215
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
   
 20. T

  T.K JF-Expert Member

  #20
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 345
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mnyika: hotuba zilizotolewa na viongozi wa ccm akiwemo rais zinazidisha mpasuko katika jamii
   
Loading...