Tutafakari: Kwanini Kwenye SMZ Hakuna Tuhuma za Ufisadi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tutafakari: Kwanini Kwenye SMZ Hakuna Tuhuma za Ufisadi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ng'wanangwa, Nov 22, 2011.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Kesi nyingi za ufisadi ziko JMT na Watanganyika ndiyo watuhumiwa namba moja. Lakini kwenye SMZ mambo haya hapana sikia kabisi mimi. au yako chini ya kapeti? au wazenji wanapiga fita usifadi kwa vitendo? nawasilisha.
   
 2. T

  Topical JF-Expert Member

  #2
  Nov 22, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kumbe hujui familia ya karume unavyokula good time na tenda za serikali??
   
 3. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #3
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  alaa kumbe! nilikuwa natafuta pa kuanzia tu. hivi wahisani wakitoa hela kujenga say, barabara, hizo ngawira si huwa zinahusu JMT? ambamo ndani yake kuna zenji? sasa mbona pemba hakuna barabara za maana? hela za kujenga barabara zenj anakula nani? kwa nini?
   
 4. T

  Topical JF-Expert Member

  #4
  Nov 23, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  nilukuwa sijafahamu kumbe umbea unakumbua?
   
 5. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #5
  Nov 23, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Ufisadi SMZ upo tena wa kufa mtu, sema saiv Zenji hamna chama cha kuyalipua hayo, kilikuwepo CUF ila saiv CUF=CCM (b). Wazenji kwishney
   
 6. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #6
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,424
  Likes Received: 3,786
  Trophy Points: 280
  Ufisadi upo ila wa kusema hayupo. CUF Nao ni mafisadi, hivyo hawawezi kuwanyooshea vidole mafisadi wenzio. Kumsema mwenzio hakikisha wewe ni msafi. Na ndiyo maana kwa Slaa waliishia kutishia kwenda mahakamani na kuropoka kuhusu mchumba wa Slaa na mshahara wake huku wakipata kigugumizi juu ya mshahara wa Mukama
   
Loading...