Mkurugenzi mkuu wa shirika la ndege la Tanzania (ATCL) Bw David Mattaka leo ametangaza kuwa amestaafu rasmi kwa mujibu wa sheria baada ya kufikisha umri wa miaka 60
Amewaambia wanahabari...
Waziri Mkuu msataafu leo kupitia tbc-habari saa 2 uck, amekiri kuwa mchango wa vyama vya siasa vya upinzani umekuwa wa muhimu sana kwa ustawi wa taifa. Sambamba na hilo amekiasa ccm kwenda na...
Msikie Mh. Mnyika akipanga hoja kuzungumzia ufisadi wa Songas na kumtaka Ngeleja ajiuzulu: inaanzia youtube 1 na kumalizia youtube 2 mengineyo unaweza kuacha:
Kwa kweli Mnyika ni sawa na wabunge...
Mh magufuli aliainisha urefu wa barabara tangu tulipo pata uhuru.
Alieleza uongozi wa JK umejenga 11300km kwa kutumia pesa za ndani kwa asilimia 80 ukilinganisha na 1300km tulipopata uhuru na...
Barua ya CHADEMA kutaka kukutana na JK kujadili issue ya katiba hatimaye imefika Ikulu. Tayari Kurugenzi ya mawasiliano Ikulu imethibitisha kupokea barua hiyo na kusema JK kafurahi sana kupata...
Nape Mnauye wakati akiongea na vyombo vya habari mjini Dodoma leo ambako vikao vya Chama cha CCM vikiendelea amebadilisha kuali mbiu ya awali aliyokuwa akizunguka nchi nzima kutangaza majina ya...
Baraza la kijeshi nchini Misri limesalimu amri na kukubali kuitisha uchaguzi wa raisi nchini humo mwezi July 2012 vilevile kukubali baraza la mawaziri kujiuzulu ambapo masaa machache yaliyopita...
Wabunge 14 wa uingereza wamemtaka raisi wa shirikisho la soka duniani (FIFA ) ajiuzulu kwa kile wanachodai matamshi yasiokubalika ya ubaguzi wa rangi. Naona dhana ya kujivua gamba limekwea pipa...
mbunge wa bunge la korea kusini alipua bomu la machozi bungeni na kuwaliza wabunge wote!
Amefanya hvyo kuonyesha hisia zake za kutokubali nchi yake kuingia mkataba wa kibiashara na Marekani.
Hatuwezi kukubali mabadiliko na kisha kupinga chanzo cha mabadiliko hayo, ukifanya hivyo utajiingiza ktk utata wa kimantiki- ni kauli niliyowahi kuisoma katika moja ya vitabu vya falsafa...
MODS, mada ya kumuona Rais ni tofauti na mada ya tamko. ukizichanganya mada hizi flow ya mjadala inakinzana,mada ya kumwona Rais haioko kwenye tamko la chadema usiunganishe mada tofauti ya tamko...
Habari kuu, Mtanzania
*Ahojiwa Polisi kuhusu tuhuma za sumu
Na Mwandishi Wetu
JESHI la Polisi nchini limemhoji Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, kuhusiana na tuhuma...
Mpaka sasa najiuliza Rais wetu anasubili nini, kumchukulia hatua Jairi, Ngereja, Luhanjo and co!
Anataka amwambie nani kwamba watu hao hawaamini tena mbele ya umma, kwani uadilifu wao wameutia...
Monday, 21 November 2011 18:54 0digg
Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein na Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Benjamin Mkapa, wakifurahia jambo kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu ya...
endapo kikao cha ccm kitapitisha maamuzi ya kuwatema hawa mafisadi wawili, napenda kuwatahadharisha viongozi wa juu kutowakaribisha hawa watu. Kwani wanastahili kwenda jela kutokana na ushahidi...
Nimesoma taarifa ambayo ilitolewa jana na Katibu Mkuu Kiongozi Ndugu Philemon Luhanjo , ambayo inasema kuwa Rais Kikwete ameteua kikosi kazi kwa ajili ya kusimamia kazi ya kurekebisha shirika la...
Kwa sakata la kina Jairo na usisadi wa songazi baada ya kamati ya bunge kuanika madudu yao wengi tulitegemea Rais JK angelichukua hatua mara moja kuwafukuza kazi Waziri wa nishati...
Chama kinachotawala Afrika kusini (ANC) kinakaribia kuanzisha sheria ya kishetani inayohusu kulinda siri za serikali ambayo inapingwa vikali na wanaharakati akiwemo mshindi wa tuzo ya amani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.