Hali ya uchumi Tanzania ni mbaya sana. Nchi iko kwenye crisis kubwa, ni balaa... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hali ya uchumi Tanzania ni mbaya sana. Nchi iko kwenye crisis kubwa, ni balaa...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nderingosha, Nov 21, 2011.

 1. n

  nderingosha JF-Expert Member

  #1
  Nov 21, 2011
  Joined: Mar 20, 2011
  Messages: 3,526
  Likes Received: 1,312
  Trophy Points: 280
  • Pamoja na maovu yanayozidi kujitokeza tz yakihusishwa na ubadhirifu mkubwa na upotevu wa fedha za umma usio na kifani...nchi ya tz kwasasa iko kwenye msiba mzito kiuchumi. hali hii tayari inajulikana kwa watendaji wengi serikalini ambao kwasababu za kiajira hawawezi kusema adharani lakini hali ni kwamba nchi imefilisika kabisa.......kama kuna watu walioko kwenye ajira serikalini na wanafatilia kwa makini hili watakuwa wameliona. Ni kwamba serikali imeishiwa kabisa......sijui hata huyu jamaa jk naposafiri nje hela inatoka wapi?........

  • Ni kwamba hali imekuwa mbaya kiasi kwamba siku hizi kupata mshahara limekuwa ni swala la kuomba mungu!!!!!watu wanapokea nusu mishahara siku hizi..........hali imekuwa tete saaaana, haielezeki.....watu walio sekta binafsi wana nafuu kwani private sector wana ufanisi kwenye utendaji wao.....hali serikalini ni mbaya saana na nchi inaendeshwa completely na mikopo ya benki za ndani na deni la taifa limekuwa kubwa kupita kiasi..yaaani tz inaendeshwa kwa matumizi makubwa kuliko mapato sasa na ni suala la mda tu nchi itadondokea pua kama nchi za ulaya.....e.g iceland,greece and others......
  • Hali hii pia imechangiwa na wafanyakazi kukosa moral ya kazi kwa kuona wizi mkubwa unafanyika nao hawafaidi.....killa mtu anajali tumbo lake kwani anasema asipokula yeye atakula juma etc....maisha yamepanda,ukichangamya na kushuka kwa shilling na kupanda kwa bei ya vitu basi tz imekuwa ni kilio cha ajabu......viongozi wetu hili wanalijua na hawataki kulifanyia kazi kwani wako busy na wenyewe kuangalia maslahi yao huku wakijua soon or later nchi inakuwa kweye deep economic collapse.Kila mtu anataka kuchukua chake mapema......hali ni mbaya sana na viongozi wetu kwasababu ya unafiki wao hawataki kutangazia dunia hili swala lakini hali halisi ni kwamba tz tayari iko kwenye economic crisis tena kubwa ajabu kuliko hata ya nchi za ulaya...maana tz haina chake......kila kitu wameuza.....yaani nchi hakuna inachomiliki.......wamebaki kuomba misaada na kuomba kampuni zilipe kodi na mirahaba lakini tz haina kitu mkononi.......dhahabu wameshindwa hata kuhifadhi benki kuu kama gold bullion ili iuzwe ilete pesa ya kigeni kwa maana sasa katika soko la dunia dhahabu bei iko juu na ndio inashikilia uchumi wa nchi nyingi.....
  • Sisi dhahabu yetu yote wanabeba makampuni tuliyowauzia migodi kwa bei chee na wanaiuza nje kwa bei mbaya......na pesa zinaingia kwenye serikali zao ambako ndio kuna masoko yao ya hisa.......sisi kama nchi hatuna chetu kwa sasa....kwenye kila raslimali muhimu hatuna chetu....au hakitoshi.....maana tumeshauza na sasa hela ya kigeni hamna kabisa nchini, ndio sababu thamani ya shilingi inashuka......hili halisemwi lakini ndio hali halisi.....hatuna chetu pamoja na raslimali zetu chungu mzima.......tumebaki na majengo tu kama benki kuu lakini hamna kitu ni sifa tu za kipumbavu.......tumebaki kutafta sifa za kijinga tena za kulazimisha kama mlima kili, au kuwa na officials nje(diplomats)au kupata tuzo za kipumbavu etc...lakini ukweli ni kwamba tz ni nchi mojawapo itakayo tangazwa soon kuwa kwenye deep economic crisis na itahitaji bail out........very very soon................nasema hivi kwasababu tayari nchi inashindwa kulipa mishahara wafanyakai wake....what do you expect????????benki binafsi soon zitakataa kuikopesha serikali maana serikali watashindwa kulipa interest......Viongozi wamebaki kushabikia siasa maana ndiko kwenye maslahi.......hata wezi wa mali za umma siku hizi nobody bothers to deal with them.......
  • Kwa taarifa tu(ulizeni) ni kwamba sector nyingi za umma serikalini na mikoa hawajapelekewa OC (other charges)kwa muda mrefu sasa na miradi yooote ya maendeleo nchini imesimama....ulizeni...............veeeeery soon.......we will become the first african country in need of a bail out............................................
  Yangu macho......................................
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Nov 21, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  soSI pLEASE.......................OTHERWISE PUMBA
   
 3. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #3
  Nov 21, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  kubwa zaidi na la uhakika mishahara ya mwezi huu tia maji tia maji
  ya mwezi jana walikopa STANBIC .
   
 4. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #4
  Nov 21, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  Utakuwa umeajiriwa........
  kama umeajiri you will know these soooon!
   
 5. s

  shosti JF-Expert Member

  #5
  Nov 21, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mhhh mazito...
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Hata Nyepesi(Zitto) alishawahi sema hii kitu lkn mkulo akabisha ngoja tusubirie watavyodondokea pua.
   
 7. p

  politiki JF-Expert Member

  #7
  Nov 21, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  serikali ya Tanzania is not only bankruptcy but it has been bankruptcy for a while. unapokuwa Siku zote unapotumia
  zaidi ya mapato yako bankrupty is inevitable. revenue 6 trilioni shillingi , matumizi 11 trilioni where does the 5 trillioni shillings
  come from ?? common sense advise always live below your means you will never ever get into financial trouble this applies as well in household level. viongozi wetu wa kiafrika kama kikwete kwa kukosa kuwa creative pamoja na kuwa rasimali kibao wamezifanya nchi zetu kuwa tegemezi kiasi kwamba when europeans sneeze we get the cold. swali ni kwamba for how long we gonna keep depending on others to support us ??
   
 8. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #8
  Nov 21, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,076
  Likes Received: 856
  Trophy Points: 280
  Tumekwisha wajameni....
   
 9. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #9
  Nov 21, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Yaani wewe hujaachaga kusema HEARSAYS humu JF? maanake ulichokieleza hapo juu ni propaganda za kila silku za wanasiasa na ndiyo huko ulikoyaokota. Nashindwa kukuelewa , sijui huna upeo wa kuandika tafiti ulizofanya mwenyewe. Wanasiasa huwa wanatafuta umaarufu kwa wananchi kwa vile ndiyo wapiga kura wao , sasa wewe unatafuta umaarufu kwetu ili iweje. Wafanyakazi haohao unaosema wamekuambia wanalibwa mishanara tunao mitaani na wanaisifia serikali kwa kuwawahishia mishahara ya kila mwezi ukilinganisha na zamani. Hivi kama propaganga za wanasiasa juu ya kima cha chini cha mshahara zilipelekea wafanyakazi wakataka kuandamana leo hii kama kweli wangekuwa wanalipwa mishahara nusu kungekuwepo na siri kweli?
   
 10. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #10
  Nov 21, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  Hili ni tatizo kubwa sana kwa nchi hii, nyerere alijua kuwa kikwete asingehimili vishindo vya kuwa magogoni.sasa hivi badala ya kuangalia masuala ya mdororo wa uchumi yeye anapigana na CDM akitaka kuwatungia watanzania katiba kwa kuatamia kila madaraka .Jk ni kawaida yake kuatamia kila kitu tunakumbuka mwaka jana yeye na familia yake walilibeba lile fuko la pesa za kampeni.makubwa yanakuja tutaona.

  Alinishangaza aliposema" hata kule ulaya wakubwa zetu wana hali mbaya ya uchumi kama sisi" lakini anasahau kuwa wao ulaya wamechukua hatua kwa kupisha nafasi zao kama vile WM wa italy na ugiriki, wamegundua kuwa uwezo wa kuongoza umefikia kikomo bora waachie wengine, JK yeye yumo tu anasema inzi hufia kidondani.kazi tunayo
   
 11. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #11
  Nov 21, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Mimi ninapoandika thread hii sijapata posho yangu ya mwezi October, tumefuatilia mpaka basi, serikali inasema haina hela. Sasa hela imetoka wiki iloyopita NMB makao makuu wamehold wanasema Mtandao unasumbua yaani kero tupu. Mimi ninafikiri tunatakiwa kuandamana kuitoa serikali ya mkwer.e fasta inatia kinyaa.
   
 12. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #12
  Nov 21, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Afadhali na wewe imeliona hilo. Huyu jamaa anajaribu kuelezea hisia za kila siku za wanasiasa humu JF anafikiri na sisi pia tuko humu kuombwa kura.
   
 13. meddie

  meddie JF-Expert Member

  #13
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  data pls!!
   
 14. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #14
  Nov 21, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  kuna uhusiano gani kati ya serikali na NETWORK YA NMB mpaka uandamane uitoe ? Tuwe na mantiki tunapotoa hoja zetu humu JF otherwize tutaonekana hatuna akili. WEWE unaambia kuna tatizo la mtandao alafu unasema tuandamane. inaonekana hujui lolote kuhusu MTANDAO pole sana
   
 15. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #15
  Nov 21, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Construction industry imeshakuwa classified as high risk business in Tanzania na financial institutions! Na hasa contractors wa barabara ambao wanacheleweshewa sana malipo yao. kuna contractor mmoja maarufu hapa mjini alilipwa fedha zake juzi, ikiwa imepita miezi sita Tangu akamilishe project yake.
   
 16. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #16
  Nov 21, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  Jamaa ana hoja kama mtandao unaosemwa unatatizo na accounts zihusianazo na mshaharya serikali pekee hapo pana tatizo la msingi lenye mahusiano na mishahara, ila kama ni mitandao ya wateja wote then hilo litakuwa tofauti. Yawezekana wateja wa mishahara tu ndiyo wanaoambiwa network breakdown
   
 17. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #17
  Nov 21, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Kumbe ndiyo maana siku hizi wafanyakazi wa Stanbic wanaturingia sana sisi wateja binafsi. Wamempata "mteja mkubwa anayekopesheka!!!"
   
 18. IsangulaKG

  IsangulaKG Verified User

  #18
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 702
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  Nilipo sema katika Makala yangu moja humu kuwa Tunahitaji Kuifumua Tanzania na Kuijenga Upya hamkunielewa? ooooh nisahau Kuwa wengi wenu ni wazembe wa kusoma Makala ndefu zenye point na mnang'ang'ania vipost vifupi vifupi!
   
 19. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #19
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,553
  Likes Received: 1,900
  Trophy Points: 280
  Kadiri pesa ya Tanzania inavyoshuka thamani,na mafisadi walioushikilia uchumi na wao wanaziweka kwenye akaunti za nje ie U.S dollar.

  Kama ikiendelea kuwa ghali kununua dola moja ya kimarekani kwa kutumia Tz shs, then utaona haina haja ya kuwa na pesa za madafu.
   
 20. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #20
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kuna ukweli hasa mada ikiwa ni siasa, kuna watu hawataki kusikia siasa na kusahau kuwa wanasiasa ndiyo waliobeba mustakali wao.
  Uchumi mbovu ni lazima uilaumu serikali ambayo inaongozwa na wanasiasa.
   
Loading...