George Bush is coming again! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

George Bush is coming again!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mang'ang'a, Nov 22, 2011.

 1. m

  mang'ang'a JF-Expert Member

  #1
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 664
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  DALLAS (AP) — Former President George W. Bush will travel to Africa next month to raise awareness about cervical and breast cancer, an effort he calls a "natural extension" of a program launched during his presidency that helps fight AIDS on the continent.
  Bush, former first lady Laura Bush and officials with the George W. Bush Institute are heading to Tanzania, Zambia and Ethiopia from Dec. 1 through Dec. 5, where they'll visit clinics and meet with governmental and health care leaders.

  "We believe it's in our nation's interest to deal with disease and set priorities and save lives," Bush told The Associated Press.
  In 2003, Bush launched the U.S. President's Emergency Plan for AIDS Relief, or PEPFAR, to expand AIDS prevention, treatment and support programs in countries hit hard by the epidemic.

  My take: he might be having interests here si bure
   
 2. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #2
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Hawa tumeshawazoea wakishastaafu wanakuja kuchuma huku kwetu na wanakuja kwavigezo vya kufanya fundraise zakuchangisha hela Pumbaaaaaffffff! Mimi namsubiri na viatu kwakua najua lazima afike Arusha kuja kuangalia ule mradi wake wa vyandarua.
   
 3. Sokwe Mjanja

  Sokwe Mjanja JF-Expert Member

  #3
  Nov 22, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Anakuja kufuatilia uchimbaji wa Uranium kaka
   
 4. N

  Ngoiva JF-Expert Member

  #4
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 236
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapana, Bush ana kiwanda kikubwa kipo arusha maeneo ya kisongo, na ndicho kinachotengeneza net za hati punguzo, baada ya jk kuomba saidiwe net ili kutokomeza malaria nchini.
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Anaenda kwenje eneo lake alilonunua kigamboni
   
 6. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #6
  Nov 22, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wale waliosema viongozi wau watu mashuhuri hawatembelei Tanzania sasa nguo zinawabana. Karibu Bush usaidie wanaoteseka!
   
 7. I

  Idodi Member

  #7
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hana lolote, wizi mtupu. Anakuja kusababisha foreni za magari jijini huyo....
   
 8. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #8
  Nov 22, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Join Date : 22nd November 2011
  Posts : 1
  Rep Power : 0
  Mbona hujajitambulisha? Post ya kwanza tu unaandika hivi? wengine huwa hawaingiagi hapa JF kichwa kichwa hivi
   
 9. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #9
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  inabidi atizamwe kwa jicho la tatu!!
   
 10. m

  maliyamungu JF-Expert Member

  #10
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 481
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Nipeni no za alshabab nijifunge bomu airport niondoke nae mi nshachoka kub +bake
   
 11. N

  Ngoiva JF-Expert Member

  #11
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 236
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli we ndo kilaza, hauna mbele wala nyuma. Bush anakuja kukagua maendeleo ya miradi yake. Tumia ubongo kufikiri acha ushabiki wa kitoto.
   
 12. M

  Mwera JF-Expert Member

  #12
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hizo net feki zinavuliwa samaki na pia wanafunikiwa vifaranga vya kuku kuwalinda na mwewe,nchi hii kazi kweli!!
   
 13. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #13
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  anakuja kugawa vyandarua
  anakwenda kutembelea hoteli yake kule Serengeti
  anakuja kutembelea machimbo ya dhahabu North Mara na Geita
  anakuja kuwekeza kwenye uchimbaji wa uranium
   
 14. N

  Ngoiva JF-Expert Member

  #14
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 236
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndo zenyewe mtu wangu. Alipoulizwa ni kusaidie nn kwa maslahi ya taifa, uwezo wa kufikiri ndo ikaishia kwenye net.
   
 15. m

  matawi JF-Expert Member

  #15
  Nov 22, 2011
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Uranium ndo urithi kwa familia ya akina bush. Karibu kaka bush tunayo uraniam kibao wewe tu
   
 16. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #16
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  kwani vyanndarua vimekwisha?
   
 17. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #17
  Nov 22, 2011
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  george ana hisa BARRICK GOLD so anakuja kuangalia migodi yake.
   
 18. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #18
  Nov 22, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Anakuja hakiki kama Gold iliyovunwa inatoka Tanzania? na kuwapa Bonus kwa mkono wake wana Barrick kwa mavuno mazuri.
  Ofcourse na kuwapoza viongozi wetu wasije chonga kama ilivyowakuta Pan African Energy
   
 19. D

  Dotowangu JF-Expert Member

  #19
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  anakuja kuangalia majaribio yake ya vyandarua alivyoleta...kama nguvu za kiume zimepungua amavipi
   
 20. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #20
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  post yake inaonyesha ni mzoefu. itakuwa kaonewa na mods.
   
Loading...