Mh raisi;hili liko ndani ya uwezo wako,tumia ubinadamu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh raisi;hili liko ndani ya uwezo wako,tumia ubinadamu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by NIMEKIMBIA CCM, Nov 23, 2011.

 1. N

  NIMEKIMBIA CCM Senior Member

  #1
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Rais wangu kikwete(ingawa mwakajana ckukupa kura yangu),ume2kanwa sana,umelalamikiwa sana,wamekuchukia sana,ushauri wangu rudisha heshma yako na imani kwa watanzania na waamini unawasikiliza kwa kutokusign hcho ambacho hawakitaki(KATIBA).Angalia macho yote ya watanzania yanakuangalia wewe.
  TUMIA BUSARA ZAKO NA MUNGU ATAKUBARIKI,KUWA NA MAAMUZ MAZURI UTAACHA SIFA AMBAYO WENZAKO WALIOPita hawajawah ipata.
  Kaz njema
   
 2. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #2
  Nov 23, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Hakuna haja ya kumuomba ni lazima asikilize wananchi, katiba inatakiwa iandikwe na wananchi na siyo watawala. Msitake kutuuzi watu hili siyo ombi yeye nani mbele ya wananchi??
   
 3. m

  muchetz JF-Expert Member

  #3
  Nov 23, 2011
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 45
  Kwa kuongezea.. Umezungukwa na mafisi wenye kutaka kula kila kitu kwa mgongo wako wakijua kwamba mambo yakiharibika wewe ndo unabebeshwa lawama na si wao(labda sababu nawe unazikubali). Sasa ni nafasi yako adimu ya kubadili upepo.

  Kiuchumi sidhani tena kama una nafasi ya kuondoka kwa heshima! Angalau kisiasa acha historia!!!!
   
 4. Muangila

  Muangila JF-Expert Member

  #4
  Nov 23, 2011
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 1,854
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Kusikia kwa kenge........!?
   
 5. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #5
  Nov 23, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Je sikio la kufa litasikia dawa? Tumsubiri baada yakufanya masungumzo na cdm tuone atatoa uamuzigani. But JK u have to resign
   
 6. r

  robert palice Member

  #6
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mavi ni mavi 2 hayawi Chocolate
   
Loading...