Kikwete katupiga chenga watanzania wote

Sangarara

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
13,100
5,649
Kwa hatua ambapo hatua za kujivua gamba imefikia ndani ya Chama cha Mapinduzi,
ukilinganisha na mategemeo ya watanzania wote wanaofuatilia picha hii, wote, wana ccm
na wasio wana ccm, viongozi wote wa ccm isipokuwa JK the nightmate mwenyewe na
wanachama kwenye ngazi zote za chama hicho ni wazi kwamba hakuna hata mmoja
ambaye anaweza akasema kwa imani kutoka moyoni mwake kwamba anaelewa
Jakaya alimaanisha nini aliposema CCM ni kama Nyoka na inaweza kujivua gamba.


Haiwezekekani wakati woote wa hatua zinazodhaniwa kuwa end point na watanzania
woote mambo yanakuwa namna hii

Hakuna hata mmoja, kama yupo atoe ushahidi hapa.
Only Jakaya know what he meant, au la Hata yeye haelewi alikuwa anamaanisha nini.
 
inachomaanisha hapa ni kwamba JK ni mwepesi hata wewe ukikaa vizuri unaweza kumtikisa,...........usishangae....hata CHADEMA wakikaza sana watapokwenda ikulu kuonana na rais wakikaza sana wanaweza kukabidhiwa madaraka palepale waongoze nchi...natania
 
Au kajipiga na yeye mwenyewe chenga ya mwili? Siasa hazina majibu ya moja kwa moja kama design za wahandisi.
 
Back
Top Bottom