IFUNYA
JF-Expert Member
- Nov 18, 2011
- 363
- 130
:a s 465:jf kwa siku za nyuma tulisoma kwenye magazeti kuwa mkuu wa kupambana na kuzuia rushwa nchi anasema kuwa idara za mahakama na polisi zinaongoza kwa rushwa nchini. Mimi sikubaliani na taarifa hii ebu atembelee wizara ya ujenzi aone kulivyooza, hasa hasa wakala wa barabara nchini (tanzania national roads agency - tanroads) mambo yanaanzia kwnye manunuzi.