nampenda mtufahamishe huyu mchumi nguli Prof IBRAHIM .H. LIPUMBA atarejea lini nchini? ili aje aendeleze mapambano ya katiba mpya, huyu jamaa mimi binafsi huwa namkubali ni mtu jasiri, na vitendo...
Mwandishi Wetu
Meya wa Moshi
ULEVI wa madaraka umeanza kukisumbua Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro Kutokana na mgogoro wa chini...
Nimefanya utafiti kwa muda sasa na kugundua kuwa ukiondoa chama-dola (ccm) au mkoloni mweusi ambacho ni dhahiri kuwa kiko madarakani, Tanganyika na Zanzibar, kimabavu {i stand to be corrected}...
Kwa kipindi cha miezi miwili sasa imepita Tangu Chama Cha Mapinduzi ( CCM) kutangaza ilichokiita Kujivua Gamba kwa Lengo Si la kuboresha Maisha ya Watanzania bali KUKINUSURU Chama Cha Mapindizi (...
Ndugu zangu watanzania,
Nchi yetu inakabiliwa na matatizo mengi kwa sasa kiasi kwamba inayumba sana na tusipoangalia itaanguka milele na haitapata kusimama tena.
Kama kuna mtu wa kuiokoa...
Ni masikitiko ya wazi kuwa sasa hakuna tena jinsi! yule fisadi mkuu lowasa sasa ameshawanunua wapinzania wote, baada ya kuweza kununua kanisa kubwa na taasisi ya kanisa katoliki, safari ya lowasa...
Sources:Home
Can lawyers, independently, enlighthen us on this? As it is now, the Constitution issue appears rather complicated as most people don't understand the 'yes' and 'no' of it.
There...
Naona JF kama kawaida yetu tumeingia na vigele gele wakati ukweli ni kuwa MWAKYEMBE kama mwanasheria anajua fika kuwa kulikuwa na umuhimu wa kumhoji mtuhumiwa mkuu katika hili skendo bwana LOWASSA...
Wakili wa utetezi katika kesi inayowakabili viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amewashauri polisi kwenda shuleni ili kusomea sheria kwa ajili ya kuepuka kesi za kufikirika...
25 NOVEMBER 2011
Na David John
KAMATI ya Kutetea Haki za Waislamu nchini, imeihadharisha Serikali kutojihusisha na mambo ya kidini hasa yanayohusu kundi la Al-shaabab kwa shinikizo la mataifa...
Maandamano yaliyotaka yafanywe na asasi zisizo za kiserikali kudai marekebisho ya mswada wa katiba yamekwaa kisiki kikuu cha alshababu, Mpaka nawasilisha nikuwa kutokana na Tishio la alshabab...
Chama cha CCM kiliwataka wanachama wake wanaotuhumiwa kwa kasha Mbali Mbali za Kifisadi wajichunguze halafu wapime na Wachukue Maamuzi ya Kujivua Gamba.
Msingi wa Tamko la Kujivua gamba la CCM...
Ofsi ya bunge imesema kuwa inawezekana kuufanyia marekebisho muswaada wa marekebisho ya katiba wa 2011 ama kuufuta kabisa endapo kutakuwa na sababu za msingi.
Source.Gazeti la Mwananchi la leo...
Hili tunaambiwa lilitishiwa kufanywa na JK kama asingepitishwa na CCM kugombea urais 2005, likaja kurudiwa tena na samuel sitta baada ya kukabiliwa na kitisho cha kung'olewa kwenye uspika kabla ya...
Kuhusu suala la Nishati nchini, Mukama alisema NEC imeiagiza Serikali kuhakikisha kuwa inapunguza bei za mafuta na hasa ya taa ambayo yanatumiwa na wananchi wengi wenye kipato cha chini. Chanzo...
Pale mbele kuna picha za watu 6'
1.dr jakaya kikwete(raisi wa jamuhuri ya muungano)
2.dr ghalibu bilali(makamu wa raisi)
3.dr shein(raisi wa jamuhuri ya zanzbar)
4.mizego kayaza pinda(waziri...
Japo hii thread ilitakiwa iende jukwaa la elimu ila nimeona niiweke hapa jukwaa la siasa kutokana na mtajwa hapo juu kuwa mwanasiasa.Nimefika leo Dodoma kuhudhuria mahafali ya mdogo...
Ukijaribu kufikiria upya maneno ya Mwl Nyerere 'Mmi ninang'atuka lakin bila CCM madhubuti nchi itayumba' Maswali mengi yanajitokeza.
Kwa mfano nini alikusudia Mwl kwa neno CCM madhubuti? Ndio...
Serikali ya Mapinduz ya zanzibar imesema kamwe haitachangia gharama za mchakato wa kuunda katiba mpya,imedai kuwa jukumu la kugharamia ni la Serikali ya Jamhuri ya Muungano
sosi:NIPASHE,25...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.