Kauli za CCM zilizofanikiwa mpaka sasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kauli za CCM zilizofanikiwa mpaka sasa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by eddo, Oct 20, 2011.

 1. eddo

  eddo JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2011
  Joined: Mar 16, 2010
  Messages: 291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  tulianza na kauli mbiu,siasa ni kilimo,kilimo ni siasa,kilimo ni uti wa mgongo wa tanzania,sasa kilimo kwanza.kauli mbiu zote hizi mbona hakuna mabadiliko yoyote?wakulima wetu ni watu maskini sana,njaa inawatafuna mwaka hadi mwaka,kauli mbiu hizi zinatangaziwa kempnsy hotel huku wakinywa mvinyo.hii ni mambo ya ajabu ambayo nashindwa kuwazua.NAOMBA KUWASILISHA!
   
 2. Adolph

  Adolph JF-Expert Member

  #2
  Nov 25, 2011
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 870
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  1." KASI MPYA ARI MPYA NGUVU MPYA"
  hapa wengi waliingizwa choo cha kike..kiukweli wamefanikiwa, kumekua na kasi mpya ya mafisadi..ari mpya ya kuiba hela za watanzania na nguvu mpya ya polisi kuwaonea wapinzani...

  2.TUMETHUBUTU TUMEWEZA TUNASONGA MBELE
  Binafsi naona hapa pia wamefanikiwa...wamethubutu kuiba na kufisadi, wameweza na sasa wanasonga mbele

  3. TANZANIA BILA UKIMWI INAWEZEKANA
  Wamefanikiwa..wakienda kwenye kampeni wanachukuliana wake na hawajapata ngoma hadi sasa...kweli inawezekana.

  4.MALERIA HAIKUBALIKI
  Kweli tumeona kwa vitendo..wamejitahidi sana..hadi George Bush alitoka USA na kuja bongo kugawa vyandarua kweli haikubaliki...tunabadilishana madini na vyandarua ili kutimiza hii kauli kwamba Maleria haikubaliki.safi sana!

  5.KILIMO KWANZA
  dah hapa nisaidieni wakuu ila watakua wamefanikiwa tu hawa watu hawashindwi kitu

  unaweza ukaongezea kauli na falsafa zilizofanikiwa tanzania
   
 3. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #3
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,797
  Likes Received: 36,826
  Trophy Points: 280
  siasa ni kilimo
   
 4. ndevu mzazi

  ndevu mzazi JF-Expert Member

  #4
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 688
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 45
  kilimo kwanza na powertíller za shìmbo
   
 5. Chakunyuma

  Chakunyuma JF-Expert Member

  #5
  Nov 25, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Uhuru ni kazi hii iliwapa nguvu wazee wetu kuijenga nchi ambayo inabomolewa na chamadola.
  Vijana taifa la kesho hapa walichemka kwani umri wa kijana ni kati ya miaka 18 hadi 39 na ndo maana wameacha kuita vijana taifa la kesho.
   
 6. M

  MWananyati Senior Member

  #6
  Nov 25, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 155
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
   
 7. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #7
  Nov 25, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  maana yake,TUMETHUBUTU,TUMEJARIBU,TUMESHINDWA NA TUNAANZA UPYA.
   
Loading...