Zitto alonga

Jean chill

Member
Apr 8, 2011
69
20
"Katiba haitapatikana barabarani bali kwa mwafaka wa Kitaifa. CHADEMA iliomba kukutana na Mkuu wa Nchi kwa sababu maalumu zinazohusiana na mchakato wa Katiba. Kama kuna vyama vingine navyo vinataka kumwona Rais wafuate utaratibu wao. Pia tangu lini CCM ikaanza kusemea vyama vingine? Rais ana taratibu za kukutana na raia wake. CCM na vyama vingine visidandie mkutano wa Rais na viongozi wa chama chetu @Nape" -Zitto Kabwe
 
Zitto anamaanisha nini hasa pale anaposema Katiba haitapatikana barabarani?
 
Rais naye atakuwa hatumii busara, kama ataunganisha matatizo ya vyama kama njugu.
 
"Katiba haitapatikana barabarani bali kwa mwafaka wa Kitaifa. CHADEMA iliomba kukutana na Mkuu wa Nchi kwa sababu maalumu zinazohusiana na mchakato wa Katiba. Kama kuna vyama vingine navyo vinataka kumwona Rais wafuate utaratibu wao. Pia tangu lini CCM ikaanza kusemea vyama vingine? Rais ana taratibu za kukutana na raia wake. CCM na vyama vingine visidandie mkutano wa Rais na viongozi wa chama chetu @Nape" -Zitto Kabwe

Tatizo la magamba hakuna watu wanaofikiri kwa kina. kila mtu anafikiria kwa umbali na ujazo wa tumbo lake tu. hili ndo tatizo kubwa linalowatafuna magamba kwa sasa. kila mtu ameacha kufikiri kwa kutumia ubongo wake........wanavizia nani kaongea nini na nafasi yake ktk kufanikisha matarajio ya matumbo yao ni ipi, basi kila atakaloongea watalifuata bila ya kujali ubaya wake kwa jamii nzima.
 
Zitto anamaanisha nini hasa pale anaposema Katiba haitapatikana barabarani?
Umeona eeeh!!
Lakini wajibu wa wenyenchi kukusanyika maeneo ya Ikulu siku ya Kikao hicho uko palepale.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
"Katiba haitapatikana barabarani bali kwa mwafaka wa Kitaifa. CHADEMA iliomba kukutana na Mkuu wa Nchi kwa sababu maalumu zinazohusiana na mchakato wa Katiba. Kama kuna vyama vingine navyo vinataka kumwona Rais wafuate utaratibu wao. Pia tangu lini CCM ikaanza kusemea vyama vingine? Rais ana taratibu za kukutana na raia wake. CCM na vyama vingine visidandie mkutano wa Rais na viongozi wa chama chetu @Nape" -Zitto Kabwe

Naunga mkono hoja. Kumbe nape ni msemaji mkuu wa CCM na washirika wake!!
Huwa anawatuma tu akina Mrema na Itatilo - Lakini sasa ameamua kusema mwenyewe! maana ameona kazi aliyowapa inaanza kuwashinda.
Mnh! amevipa kazi vyama ambavyo hadi sasa havijui vikaongee nini na Rais, inabidi Nape atunge hoja, awapige shule ya fasta wakaiwakilishe CCM vizuri kwenye hivo vikao.
Jamani hii nchi kwa sasa inatawaliwa na CCM lakini inaongozwa na CHADEMA. Subirini, ntakuja tena jamvini KUTHIBITISHA kauli yangu baada ya kikao cha CDM na JK.
 
Zitto anamaanisha nini hasa pale anaposema Katiba haitapatikana barabarani?

Kiukweli inachanganya unaweza kusema labda anaponda maandamano maana watu wakitataka kupinga kitu utasikia tutaingia barabarani lakini nadhani alichokusudia Zitto ni kuwa katiba haiokotwi au kupatikana bila utaratibu wa maridhiano.
Kuhusu la kusemea vyama vingine hata mimi hilo linanishangaza sana, iweje CCM wakurupuke kutaka rais asionane na CDM pekee wakati walioomba na kupinga ni CDM?
 
CCM wanawasemea vyama vingine hasa vile ambavyo wana hisa navyo!
 
Zitto anamaanisha nini hasa pale anaposema Katiba haitapatikana barabarani?
Huyu jamaa mara nyingine huwa simulewagi kabisa, nahisi anamaanisha kuwa katiba haipatikani kwa kuandamana. Kwa mtazamo wangu kwa Zitto katiba mpya sio muhimu kwa sasa kwa kuwa hajafikisha umri wa kugombea urais na ameishaprove kuwa hachakachuliki katika ubunge baada ya kushinda mara mbili. Na hata wenzie walipotoka bungeni siku ile JK anazindua bunge yeye alionekana kuwaponda. Lets wait and see but the guy is very controversial.
 
kama hujamwelewa uliza sio kuchafua watu
 
Ur so current ba'megawatt
"Katiba haitapatikana barabarani bali kwa mwafaka wa Kitaifa. CHADEMA iliomba kukutana na Mkuu wa Nchi kwa sababu maalumu zinazohusiana na mchakato wa Katiba. Kama kuna vyama vingine navyo vinataka kumwona Rais wafuate utaratibu wao. Pia tangu lini CCM ikaanza kusemea vyama vingine? Rais ana taratibu za kukutana na raia wake. CCM na vyama vingine visidandie mkutano wa Rais na viongozi wa chama chetu @Nape" -Zitto Kabwe
 
Kiukweli inachanganya unaweza kusema labda anaponda maandamano maana watu wakitataka kupinga kitu utasikia tutaingia barabarani lakini nadhani alichokusudia Zitto ni kuwa katiba haiokotwi au kupatikana bila utaratibu wa maridhiano.
Kuhusu la kusemea vyama vingine hata mimi hilo linanishangaza sana, iweje CCM wakurupuke kutaka rais asionane na CDM pekee wakati walioomba na kupinga ni CDM?
Mkuu swali linalochekesha zaidi ni vipi CCM idaie vyama vingine? vyenyewe havina shida na havihitaji kumuona raisi.
Ni kama vile CCM iliwalipa pesa akina mrema na CUF kuvuruga hoja za CDM, lakini Roho mtakatifu akawapa hekima, wakaingia mitini. Sasa CCM imeamua kuwadai kiaina hadharani.
 
Nape kila akiingia ndani ya kikao anaomba aambiwe kitu cha kukwenda kuwaambia waandishi wa habari waliopo nje...Naona anatoka na vitu vingine hata bado havijamalizwa kuzungumza huko ndani ye tayari kawafikishia waandishi duuuh...Huyu jamaa kiherehere kweli..!!!:A S-coffee:
 
Katiba ni zao la wananchi wote,katiba ni maafikiano ya kitaifa siyo chama cha siasa,katiba hivyo haiandikwi na chama,kikundi au taasisi moja.Katiba ili iwe katiba lazima iridhiwe na wananchi wenyewe.
Hivyo hoja ya Zitto ni kweli kwamba Katiba kamwe haiwezi kuwa katiba kwa maana yake ikiwa imekosa maridhiano,maafikiano ya wananchi.Hivyo kazi ya maandamano ni kuweka shinikizo kwa watawala kufuata taratibu zote za kisiasa na kisheria ili kuzaa uhalali wa uandikwaji wa katiba.
Kwa hiyo ni wajibu wetu sote kama wananchi kujitahidi kushinikiza Maafikiano au maridhiano ya kitaifa juu ya uandikwaji wa katiba.
Huyu anayeleta choko choko ya neno barabarani ajifunze kutafsiri kwa mapana maana ya lugha ya picha.
Kweli ni meamini kila jamii inapata stahili ya uongozi wake,maana Kagame hawezi kuongoza jamii iliyozoea kuongozwa na Lusinde na Jamii ya Kagame haiwezi kuvumilia kuongozwa na Lusinde!!!.Kila jamii hupata stahili ya kiongozi wake kutokana na uelewa wake.
Kwa wengine Zitto kuongea hivyo ni mgogoro...............
God is great.
 
Back
Top Bottom