KATIBA: Salim, Warioba wakutana na Dr. Slaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KATIBA: Salim, Warioba wakutana na Dr. Slaa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Wa Rubisi, Nov 17, 2011.

 1. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #1
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,752
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Leo wanasiasa wakongwe Mh Warioba NA Salim wamekutana na wanaendelea na mazungumuzo kuomba usuluhishi juu ya Hoja ya katiba.

  Source: Mh Zitto Kabwe

   
 2. mwakichi

  mwakichi JF-Expert Member

  #2
  Nov 17, 2011
  Joined: May 14, 2011
  Messages: 416
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  dawa chungu ndo inayotibu mapema...mwanzo mwisho
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Nov 17, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,830
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Dr Please waambie hao wanasiasa wa CCm wananchi wanataka katiba, na si uozo ule ulioletwa bungeni, waambie people's power si utani ni nguvu ya uMMA ambayo mabomu yao ya machozi hayatuzuii chochote kudai haki yetu
   
 4. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #4
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  katika ccm hawa tu ndio wanaakini wanafikiria kwa kutumia kichwa cha juu tofauti na wenzao wanatunia kichwa cha kati kwa nyuma
   
 5. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #5
  Nov 17, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Sidhani kama ni kweli ebu tupe source maana hawa wamezoea kila kitu kuisingizia cdm sasa wajue c cdm ni watanzania
   
 6. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #6
  Nov 17, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,799
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Mh! HATIMAYE CCM WAKUBALI KUWA WALIKUA WANATAKA KUWACHAKACHUA WANANCHI!!
   
 7. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #7
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,752
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Kikao kimeanza mida ya saa nne mpaka sasa mwafaka bado.
  Zitto yeye ni mtazamaji akisubiri maelezo toka kwa boss wake.
  Yanayofanywa na ccm Dodoma ayaleti picha nzuri hapa nchini.
  Je tunaitaji mwafaka kabla ya ali tete au baadaya ya ali tete,.?
   
 8. S

  SUWI JF-Expert Member

  #8
  Nov 17, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 550
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kama ni kweli ni jambo jema.. tusubiri tuone,, wametumwa ama wameenda wenyewe...!!??
   
 9. BBJ

  BBJ JF-Expert Member

  #9
  Nov 17, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 1,183
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Naunga Mkono
   
 10. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #10
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 10,107
  Likes Received: 3,075
  Trophy Points: 280
  Asalaleeeeee....!!!! ball la Barca si utani, ila Warioba & Salim halafu Dr alone, Hata dodosa mtupatie
   
 11. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #11
  Nov 17, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 28,132
  Likes Received: 4,006
  Trophy Points: 280
  Dr. ana kichwa cha wana ccm zaidi ya 100,
  chadema hatuna wasiwasi naye.
   
 12. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #12
  Nov 17, 2011
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 21,588
  Likes Received: 15,973
  Trophy Points: 280
  Nilishangaa sana kuwa CCM ni chama kikongwe jee kinakosa watu wachache wenye uelewa wa mambo?kumbe bado wapo ila wamekaa pembeni hawajishughulishi na ujinga ufanywao kila siku na watendaji
   
 13. luvcyna

  luvcyna JF-Expert Member

  #13
  Nov 17, 2011
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 1,422
  Likes Received: 923
  Trophy Points: 280
  I rily rily Love these guys...Ningependa kama mmoja kati ya hawa ndio angekuwa Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania... Natamani hawa kwa pamoja ndio wangeunda serikali walau kwa miaka miwili tu..
   
 14. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #14
  Nov 17, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 399
  Trophy Points: 180
  Nape atapona chap
   
 15. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #15
  Nov 17, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,981
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Duhh CCM kweli wameshikwa pabaya wakubali tu yaishe wasome alama za nyakati
   
 16. luvcyna

  luvcyna JF-Expert Member

  #16
  Nov 17, 2011
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 1,422
  Likes Received: 923
  Trophy Points: 280
  Tutawakumbuka sana hawa wazee... Big up Saleem..Mungu akupe maisha marefu na ya hekima... I wish to see U in Heaven, uko fair many times bila kuficha. Dr. Slaa please give him much n good coorparation
   
 17. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #17
  Nov 17, 2011
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 8,856
  Likes Received: 2,015
  Trophy Points: 280
  Kwani Nape mgonjwa?? Ameenda India au kalazwa Bongo??
   
 18. M

  Mbonafingi Senior Member

  #18
  Nov 17, 2011
  Joined: Apr 24, 2009
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mungu mtie nguvu Dr awaeleze ukweli waelewe. Watanzania tunataka katiba mpya wakichakachua hapa mwanzo tumekwisha. Tuamke tujue 2015 nani tumpe dhamana ya kutuwakilisha wachakachuaji sasa mwisho. NGUVU YA UMMA IFANYEKAZI AMEN.
   
 19. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #19
  Nov 17, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,056
  Likes Received: 3,416
  Trophy Points: 280
  Duh Tanzania ilikosa bahati kubwa laiti mizengwe ya CCM ingewekwa kando Salim A Salim angetusaidia waTanzania. Leo tunalialia kama watoto wadogo Kikwete nchi imemshinda.
   
 20. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #20
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,625
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ningefurahi mtu waliyemshambulia kuliko wote Tundu Lissu angekuwepo ili kushindilia msumari wa mwisho.
   
Loading...