JK kutokuwajibisha wateule wake kwa kumdanganya ni uoga au urafiki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK kutokuwajibisha wateule wake kwa kumdanganya ni uoga au urafiki

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mawazoyangu, Nov 25, 2011.

  1. mawazoyangu

    mawazoyangu JF-Expert Member

    #1
    Nov 25, 2011
    Joined: Jan 17, 2011
    Messages: 327
    Likes Received: 42
    Trophy Points: 45
    Mimi nashangazwa na ukimya wa JK kwa watendaji anaowateua. Tukio la juzi tu CAG wetu au Ludovick Utouh alitoa ripoti ya uongo ambalayo ilisomwa na kufanya Jairo arudishwe kazini. kwa ukimya wake mimi mambo mawili yananijia kichwani.

    1. CAG alitoa taarifa ya ukweli kabisa na kuikabidhi kwa JK lakini ikasomwa tofauti na ile aliyoitoa (waliichakachua).

    2. Uchunguzi alioufanya haukubani makosa na hvyo iliyosomwa kwa umma ilikuwa sahihi.

    Kwa la kwanza hapo juu, kama ripoti iliyosomwa ilikuwa sio aliyoiwasilisha kwa rais kwa nini alikaa kimya??? Katiba yetu inamlinda CAG na kama angefanya hivyo angekuwa amejiongezea sifa ya uadilifu kwa kazi yake aliyonayo.

    Kama iripoti iliyosomwa ndio aliyoiandaa baada ya kuchunguza kwa nini hadi sasa JK amekaa kimya kwa uzembe wa CAG kushindwa kufanya kazi ambayo wabunge tu ambao sio proffefional yao wameweza kuchunguza na kukuta madudu kama yalivyosomwa bungeni tarehe 19/11/2011. JK na watanzania tutaamini kazi zake za udhibiti na ukaguzi wa hesabu za serikali ni za ukweli na hati safi anazotoa kwa halmashauri zetu ni za ukweli kama ameshindiwa kufanya kazi ndogo ya jairo?

    Kwa mapungufu hayo naona hafai kuwa CAG labda tu ripoti yake iwe ilichakachuliwa maana haya mambo ya kukabidhi ripoti kwa rais kamwe huwa sikubaliani nayo kwani zote zimekuwa na uchakachuaji. tuliona richmondi hadi leo Hosea anafanya kazi japo ana resources za kutosha akashindwa kubaini uozo wa richmond lakini Mwakyembe na timu yake wakaweza.


    Je alitumia fedha za walipa kodi kufanya kazi ya madudu ambayo inapotosha ukweli?


    Je muda haujafika kutungwa sheria ya kuwabana watumiaji wa fedha za serikali hovyo kama alivyofanya CAG kama ripoti yake haikuweza kubaini walichobaini wabunge?


    Wana JF hebu mawazo yenu mnaonaje hili la watendaji kutoa ripoti tofauti na za tume ambazo tume zenyewe haizina wataalam kama hawa watendaji lakini ripoti zao zinakuwa za ukweli. Tuwe na imani na nani? Anayekabidhi ripoti au anayekabidhiwa ripoti
     
  2. Opaque

    Opaque JF-Expert Member

    #2
    Nov 25, 2011
    Joined: Oct 24, 2008
    Messages: 1,138
    Likes Received: 31
    Trophy Points: 135
    Tumpe muda amalizie mambo ya NEC na ya muswada wa katiba, then ataenda Bujumbura, baada ya hapo tuone kama ataamua vipi kuhusu wakuu hao.
     
  3. rasmanyara

    rasmanyara Senior Member

    #3
    Nov 25, 2011
    Joined: Sep 12, 2011
    Messages: 198
    Likes Received: 1
    Trophy Points: 33
    Ye mwenyewe!! Kunaugumu kutekeleza
     
  4. lukindo

    lukindo JF-Expert Member

    #4
    Nov 25, 2011
    Joined: Mar 20, 2010
    Messages: 7,887
    Likes Received: 6,072
    Trophy Points: 280
    jamani muacheni mkulu ajilie kuku zake msimsumbue. Kwani miaka minne mingi, si mtaweka mnayempenda!? Acheni wivu, ikulu haiwezi kuwa ya wote.
    jk.jpg
     
  5. NATA

    NATA JF-Expert Member

    #5
    Nov 25, 2011
    Joined: May 10, 2007
    Messages: 4,516
    Likes Received: 16
    Trophy Points: 135
    Ni unafki tulio nao wa Tanzania wote !
    So asilaumiwe sana, tukijifunza kutokuwa wanafiki Jk NAYE ATAACHA UNAFIKI
     
  6. Shine

    Shine JF-Expert Member

    #6
    Nov 25, 2011
    Joined: Feb 5, 2011
    Messages: 11,514
    Likes Received: 16
    Trophy Points: 0
    Inaelekea jk nae yumo kwenye haya mambo kwa namna moja ama nyingine 7bu haiwezekani mtu anakumbatia mambo ambayo yanaonekana wazi na hata kipofu anaweza kuyaona. Na inaonyesha uozo umeanzia kwa rais mwenye hapo hao walio husika kama ata waziri mktu aliyejifanya kulikataa lile vogu nae yumo nani atasalia?
     
  7. M

    MyTz JF-Expert Member

    #7
    Nov 25, 2011
    Joined: Sep 20, 2011
    Messages: 334
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 33
    akate tawi la mti aliokalia?
    ujasiri huo anautoa wapi?
    yeye sio muwajibikaji, atawezaje kuwajibisha watendaji wake?
     
Loading...