Nilibebeshwa msalaba kwa ajiri ya maslahi ya chama na nikaubeba leo hii eti......? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nilibebeshwa msalaba kwa ajiri ya maslahi ya chama na nikaubeba leo hii eti......?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KakaKiiza, Nov 23, 2011.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Nov 23, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,237
  Trophy Points: 280
  Kukiwa na sintojua ndani ya CCM hasa CC juu ya hatua gani zichukuliwe kwa makada nguli wa CCM wanaonekana ni mzigo mkubwa kwa chama imefika mahali CC imekaa mara mbili bila ya kupata muafaka juu ya nini kifanyike ili kutimiza lengo lilotangazwa hapo awali na msemaji wa chama cha CCM Nape Mnauye baada yakusema CCM itatoa maamzi magumu ya kuwavua gamba wale wote ambao wakashifa ndani ya serikali na chama,

  Baade Mbunge wa Igunga Rostam Aziz alijiudhulu ubunge wa chama hicho kwa madai ya Siasa uchwala,

  Katika ya safu iliyotajwa ilikuwa ni Mbunge wa Bariadi Anderw Chenge,Mbunge wa Monduli Edward Lowassa,Katika hali isiyo yakawaida imeonekana wananguvu kubwa kichama hadi CC kushindwa kuwatolea maamzi ya kuwavua gamba hadi sasa!

  Habari kutoka Dodoma zilisema Edward Lowassa alisikika kwa watu wakaribu kwamba yeye alibebeshwa msalaba na akakubali kuubeba leo hii eti wanataka kumfukuza kwenye chama ngoja nione huyo ninani mwenye uwezo huu nakama ni mbinu chafu basi tusubiri tuone kama kutabaki salama!

  Vyanzo visivyokuwa rasmi:
   
 2. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #2
  Nov 23, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Afadhali umesema source si ya kuaminika.
   
 3. L

  LATTICE BOND JF-Expert Member

  #3
  Nov 23, 2011
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hatutaki vyanzo visivyo rasmi humu!!!!
   
 4. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #4
  Nov 25, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,237
  Trophy Points: 280
Loading...