Mkapa amwelekeza Kikwete kuzuia mjadala wa Gamba

Nyauba

JF-Expert Member
Jul 10, 2008
1,098
105
Katika kikao kilchomalizika cha NEC ya CCM mjini Dodoma inasemekana mzee Mkapa alitumia mbinu zake za kiuongozi kumshawishi Mkiti Kikwete kuzima hoja za gamba baada ya wajumbe kuanza kuchangia wakiongozwa na mtuhumiwa mkuu Lowasa. EL alitumia fursa hiyo kujibu tuhuma juu yake na kuhoji uhalali wa nape na chiligati kumlaumu.

Sumaye alifuati kwa kusympathize na lowasa na kuomwomba mkiti ikibainika lowasa yuko safi, Nape na chiligati wafanywajeeee??

Baada ya hapo idadi ya wazungumzaji iliongezeka na ndipo mzee mkapa alipomshtua Kikwete kuimaliza hoja hiyo na kuendelea na nyingine jambo ambalo kikwete alilifanya.

Inatoa picha gani? Mzee mkapa yaelekea bado imara ndani ya ccm haswa kipindi hiki ambacho mwenyekiti kikwete hasomeki na hana msimamoo. Hii inatoa mwelekeo kuwa mzee mkapa atakuwa na ushawishi sana kwa kikwete kwenye kinyanganyiro cha mgombea wao 2015.

Je wanaotarajia kugombea urasi ndani ya CCM 2015, mkapa natumai ni kete muhimu ya kuwasaidia ushindi.

Pia hata EL sasa amengamua umuhimu wa kumtumia mzee mkapa katika kujisafisha dhidi ya kampeni ya gamba.

Swali: kwa nini mkapa amekuwa bado na ushawishi kiasi hicho kwa mkiti kikwete anayeeleweka kuwa jeuri na mjanja mjanja?
 
mkapa bab kubwa ..jk mwenyewe alimuangukia 2010 alipokuwa anaelekea kupoteza urais wake...chezeamkapa wewee
 
Mkapa mwenyewe Gamba , Hoteli south africa, anbem, Kiwira ni mascandal yanamuandama sasa ana moral authority gani kuwaambia wenzie? Yaani CCM vituko vingi kama ze comedy.
 
Mkapa mwenyewe Gamba , Hoteli south africa, anbem, Kiwira ni mascandal yanamuandama sasa ana moral authority gani kuwaambia wenzie? Yaani CCM vituko vingi kama ze comedy.

Scandal zote zimeanzishwa na JK mwenewe kwa kutumia hao wapanbe mbuzi ili yeye aonekane safi wengine waonekane hawafai
**** sana.
 
Scandal zote zimeanzishwa na JK mwenewe kwa kutumia hao wapanbe mbuzi ili yeye aonekane safi wengine waonekane hawafai
**** sana.

Mpuuzi kabisa umiliki wa hoteli kule south africa JK amehusika wapi? Anbem umeona jina la JK katika umiliki? Richmond niambie JK ameshiriki wapi? Tatizo lenu nyie mshapewa mlungura na EL kuja kumpigia kampeni humu mtakutana na sie wakongwe tutawapa dozi zenu masaburi nyie!!!!!

Vile sijasema JK sio gamba ila naomba mtupatie evidence otherwise fungeni midomo yenu.
 
Kwa wale waliowahi kuangalia movie ya 24hrs ya Keiffer Southland (Jack Bauer) kuna Rais wa marekani mstaafu anaitwa David Plumer aliitwa kumsaidia Rais fulani ambaye alikuwa andazi sana anaitwa Charles Logan ndiyo maana na kikwete ameshaona uwezo wake wa ki uongozi na kutokuwa na msimamo mpaka asaidiwe na Maraisi wastaafu.
 
Lakini wa TZ hawadanganyiki tena ,
Magamba yanajulikana hata ya jisafishe vipi ni magamaba bado
 
Do you think Mkapa supports Lowassa? Pengine mambo yanaenda yakibadilika so huwezi kujua
 
GreatThinkers,

Hivi mnajua kama Ben na JK wote ni Magamba ktk sakata la IPTL????
hawana lolote ingawa JK ni zaidi upoyoyo umezid jumlisha na udini juu zaidi hadharani
Hivi mmesikia uteuzi anaofanya.

Gamba lingine liko NSSF yani kwa udini nalo limetumwa kusegregate watumishi:frusty:
 
Mpuuzi kabisa umiliki wa hoteli kule south africa JK amehusika wapi? Anbem umeona jina la JK katika umiliki? Richmond niambie JK ameshiriki wapi? Tatizo lenu nyie mshapewa mlungura na EL kuja kumpigia kampeni humu mtakutana na sie wakongwe tutawapa dozi zenu masaburi nyie!!!!!Vile sijasema JK sio gamba ila naomba mtupatie evidence otherwise fungeni midomo yenu.
Mkuu si usome mtiririko wote!!
 
inavyoelekea mkapa anautaka uenyekiti wa ccm ili ambebe waziri wake mkuu aliyetekeleza naye vema ilani ya ccm
 
Back
Top Bottom