Ukisikia Pinda ni mnafiki ona sasa haya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukisikia Pinda ni mnafiki ona sasa haya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Johnsecond, Nov 23, 2011.

 1. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #1
  Nov 23, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nimesoma mwanahalisi la leo kumbe Pinda na Makinda nao walisaini pesa za jairo ili hali wenyewe serikali inawalipia kila kitu.

  Hao wawili walisaini kila mmoja 280,000 kwa kikao kisichozidi dakika 40. Sasa huyu ndo yule aliyekataa shangingi na ndio maana alikuwa mstari wa mbele sana kutetea bajeti huu ni uhuni sana!
   
 2. M

  MCHUMIA NCHI Member

  #2
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 96
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh!Haki ya Mungu!
   
 3. F2S

  F2S JF-Expert Member

  #3
  Nov 23, 2011
  Joined: Feb 16, 2008
  Messages: 216
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  If this is true then we have a huge mountain to climb. I guess Jairo & CO will be free in this issue though not ASAP.
   
 4. Sordo

  Sordo JF-Expert Member

  #4
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wote wametenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa mungu, CCM hakuna msafi hata mmoja
   
 5. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #5
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Nao wawajibishwe.
   
 6. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #6
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  kwa sura na umbo lake, ni kigeugeu kiasili!
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  Nov 23, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,303
  Likes Received: 22,104
  Trophy Points: 280
  pinda=bend.
  Simuamini kwa lolote
   
 8. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #8
  Nov 23, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  hii ndo tanzania bwana! Pesa mbele vingine baadae, ni nani atafungwa? Labda ccm nzima.
   
 9. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #9
  Nov 23, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,821
  Likes Received: 10,117
  Trophy Points: 280
  sasa naelewa vyema kwanini Beatrice Shelukindo alisema kama tukiamua kufukuzana hakuna atakayepona.....
   
 10. M

  Marytina JF-Expert Member

  #10
  Nov 23, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  bora LOWASSA kuliko PINDA
   
 11. de'levis

  de'levis JF-Expert Member

  #11
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,188
  Likes Received: 379
  Trophy Points: 180
  sasa ngoja nikwambie uwezo wa kufikiri wa makinda uko juu kuliko wa pinda.....
   
 12. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #12
  Nov 23, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Unashangaa nini mkuu?

  Ulishaambiwa hakuna mtu msafi katika serikali na CCM kwa ujuma wote wachafu.

  Ukianza kupekenyua unaweza kufa kwa presha wote wale wachafu wanazidiana tu huyu kasaini 280,000/= wkt Ngeleja kasaini milioni 4.
   
 13. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #13
  Nov 23, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mwanahalisi katoa screen shot ya karatasi waliyo saini hizo pesa harafu jina la January Makamba linaonekana limefutwa yaani limekatwa na mstari. Dogo anaonekana aliona mbali sana. Mwanahalisi la leo limenifurahisha sana. labda niwape heading msiokuwa dar
  1. Kubenea - Ikulu aibu tupu - ndo ile ya akina pinda sasa
  2. Gamba lamponza kikwete
  3. Dr Slaa uso kwa uso na JK
  4. CCM wamekosea kumshika matiti binti yao
  5.Rekodi ya aibu ikulu - hii kali sana nayo
  6. Kikwete , Luhanjo, jairo ni zimwi likujualo halikuli likakwisha
   
 14. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #14
  Nov 23, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  du mkuu tena hii kali, sikujua na kama ndo hivyo wote uwezo wao uko chini ya viwango.
   
 15. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #15
  Nov 23, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  si ajabu hata mkulu naye alisaini, ila kubenea ameamua kuchakachua hiyo orodha kwa kuondoa jina lake ili "kulinda heshima ya serikali"
   
 16. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #16
  Nov 23, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Na Lowasa aliirudia hiyo statement
   
 17. aye

  aye JF-Expert Member

  #17
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,987
  Likes Received: 249
  Trophy Points: 160
  kaazi kwelikweli magamba
   
 18. Sinai

  Sinai JF-Expert Member

  #18
  Nov 23, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 289
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wote wang'oke, hakuna msafi pale CCM wala serikalini! Hata mtoto wa mkulima naye yupo? Kweli watanzania tunapaswa kuimwaga serikali ya CCM, no way tutapata maendeleo chini ya majambazi hawa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 19. Ground Zero

  Ground Zero JF-Expert Member

  #19
  Nov 23, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika taarifa iliyochapishwa kwenye gazeti la raia mwema la novemba 23 yenye kichwa cha habari "Pinda, Makinda, wavuta za Jairo" imechapishwa fomu ya malipo ya jumla ya sh 1,120,000/= kwa viongozi wanne huku jina la Mwenyekiti wa kamati ya nishati na madini January Makamba likiwa limekatwa. Kwa mujibu wa jedwali January alipaswa kupokea 280,000/= lakini hakuzipokea. Mimi naanza kuamini kwamba kauli za January ni kielelezo halisi juu ya imani na msimamo wake kwenye maswala yenye maslahi kwa taifa na je tuna vijana wangapi ndani ya CCM wanaoweza kufanya anayoyafanya January?

  GZ
   
 20. Mchaga 25

  Mchaga 25 JF-Expert Member

  #20
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Alikataa kwa sababu ilikuwa ndogo nape mwanzake angonga mpaka m10 M20 M30 halafu yeye laki 280 hata mimi ningekataa, Mtoto wa mkulima yeye kanyagwa twenda hat buku kumi kama polisi wetu yeye mkulima bwana
   
Loading...