UVCCM kuandama kesho ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UVCCM kuandama kesho !

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Rutunga M, Nov 25, 2011.

 1. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #1
  Nov 25, 2011
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Habari hizi zimetangzwa na TBC1 saa 7:00 mchana leo sikuwa na NET on Phone
  pia wametanagaza kuwa watuhumiwa wa richmond wamejititea kwenye kikao na maamuzi yatakuwa ya CC

  Walimuhoji reporter wao kwa simu.

  Mapya ,tutaendelea kuelezana hapa
   
 2. Sordo

  Sordo JF-Expert Member

  #2
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mbona heading haiendani na maelezo? au ndio tatizo la kutokuwa na net?
   
 3. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #3
  Nov 25, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  uvccm waandamane kwa lipi mpwa? Katiba si wameshaitengeneza tayari?
   
 4. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #4
  Nov 25, 2011
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hawawezi kuandamana kwa wakati huu kama wanataka waharibu dili la CCM na polisi kusingizia Al-shabab wajaribu kuandamana waone moto utakavyokuja waka?
   
 5. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #5
  Nov 25, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  magamba kwa sarakasi unawaweza?
   
Loading...