Ujio wa Odinga: Vyombo vya habari kuonyesha ujasiri/unafiki? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujio wa Odinga: Vyombo vya habari kuonyesha ujasiri/unafiki?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by n00b, Nov 25, 2011.

 1. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #1
  Nov 25, 2011
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  Ujio wa Raila Odinga, utaonyesha aidha unafiki au ujasiri wa magazeti ambayo yaliwekewa pingamizi na mahakama kuandika chochote kuhusu Manji, yakiwamo Mwananchi, Citizen na Raia Mwema, ambayo yakiandika hata mazuri yake yatakua yanakiuka amri ya mahakama. Tusubiri tuone unafiki wao.

  Kesi zilizohusu magazeti hayo ni nyingi labda tukumbushane malalamiko yahusuyo kesi hizi kama tulivyoyanasa hapa mahakama kuu

   
 2. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #2
  Nov 25, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Anakuja kama Waziri Mkuu wa Kenya (aliye escape impeachment) au kama raia wa kawaida tu toka kwa majirani zetu?!
   
 3. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #3
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Na ujio wake una umuhimu gani kwetu hasa?
   
Loading...