CCM naomba munijibu kwa ufasaha... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM naomba munijibu kwa ufasaha...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by figganigga, Nov 25, 2011.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Nov 25, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  Naomba kufahamishwa hiyo mnayosema sijui miaka 50 ya Tanzania ambayo hadi leo sijajua ni Tanzania ipi yenye miaka 50 mtafanyia wapi sherehe hizo?? sababu uwanja wa uhuru muliozoea kufanyia hujuma na kuhalalisha vitu halamu kama viongozi feki na maazimisho feki ya Muungano upo kwenye matengenezo.je safari hii pesa na kodi za walala hoi mtaenda kuzitumbulia wapi kabla ya tafrija ya Ikulu jioni ambayo naamin itaonyeshwa live na tbc ili kuwalingishia walio lala njaa? mia
   
 2. Matope

  Matope JF-Expert Member

  #2
  Nov 25, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 539
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Main national Stadium
   
 3. ntogwisangu

  ntogwisangu JF-Expert Member

  #3
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 516
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  wewe una wivu!!acha sie tule keki ya taifa!,tafuta nafasi nawe ule sio kulalamika tu!NA MTAKE MSITAKE LOWAASA RAIS HATA KURA TUTAIBA!!!!!!NA CHADEMA MTAJUTA AMINI   
 4. r

  rwazi JF-Expert Member

  #4
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 230
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe hazikutoshi,unategemea wizi wa kura kuongoza watu.Utaongozaje sasa kama cyo kutu richmond na kutudoans. Tanzania tumechoka hatuhitaji sura hizo tena!
   
Loading...