Wasira na fikra Nyume,potofu na pofu

Aaronium

Senior Member
Oct 31, 2011
129
9
Wapendwa leo nimepata nafasi ya kumuona phothi Wasira akizungumza kuhusu miaka hamsini ya uhuru,akagusia kuhusu sisi tunaotaka mabadiliko akimaanisha kubadili chama tawala akazingatia nchi ya Zambia jinsi ilivyo badili vyama tawala na kuwa na marais watatu ktk miaka ishirini,ambapo yeye anaona ni kitu kibaya! Ati km hao wapinzani wangekuwa bora wangeendelea kubaki madarakani!
Upotovu ni kwamba,anafikiria kuwapa wananchi mfano huo ili waogope tu,km ilivyo kawaida ya magamba,anajifungia ndani yake na kushindwa kutambua kwamba;
1. Kudumu kwa chama chochote madarakani kutategemea uwajibikaji na ufumbuzi wa matatizo ya miaka mingi ambayo magamba wanayatumia km kigezo ili wawadanganye wananchi! Na hata km upinzani-chama chochote kitakacho shinda kitajisahau km magamba basi hawatakuwa na ridhaa ya kuongoza hii nchi!
2. Amesahau hata Kenya yenye uchumi mkubwa EA imebadili mno vyama tawala na na KANU-CCM ya kenya imepntea ktk ramani km ilivyopotea kile Kaunda!
3. Phothi anasahau kwamba mara tu wagombea binafsi watakapo pata ridhaa kisheria hatutakuwa na haja ya ati kuvuana magamba kumbe wanamalengo tu xa kupangana ili kugawana urais wa 2015.
Binafsi namuona sasa kusinzia kwake kama alivyofanya bungeni kunaendelea na siyo tu kwa sababu ati alitumia dawa za mafua!
 
kama ulikuwa makini nadhani ulimuona jinsi alivyokaa kizembe equivalent to what he was talking, wenzie wote wamefunguka tofauti kabisa na yeye, ila ye shida yake ni wapinzani tu.....ni kuendelea kujishushia heshima ndogo aliyonayo....anasikia wapi harakati za makamanda bungeni wakati mda wote anapiga usingizi
 
Old spies with their old, useless tricks! Hatuwezi kumsaidia. Huyu jamaa hakuwa minister in 70's? What do you expect to get from him? Troubles!!
 
Back
Top Bottom