Mkapa: Kikwete ni robot

Sangarara

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
13,100
5,649
Inteligensia ya Gazeti la Raia Mwema imeweka wazi kwamba, hapo nyuma Limewai kumnasa Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa akimfananisha Rais Kikwete na Robot kwa sababu ya tabia zake za kusukumia wengine malalamiko ya matatizo mbalimbali na tabia ya kutopenda kuufikirisha ubongo wake.

Miifano ya Tabia hizi za kikwete ni
1. Kuikana Ilani ya Chama chake na kudai alipewa akiwa Jangwani katika harakati zake za kukwepa sakata la Mahakama ya Kadhi.
2. Kukurupuka kuanzisha Mchakato wa Katiba Mpya wakati haikuwa Ilani ya Chama chake wakati wa Kampeni wa Uchaguzi Mkuu wala haikuwa kwenye list ya ahadi za papo kwa papo za Bajaji, Hospitali za Rufaa, Viwanja vya ndege, n.k
3. Kusign kuwa sheria miswada yenye Mapungufu, kama ule wa Sheria ya Gharama za Uchaguzi.
4. Kupelekwa kwa Waganga na Waaguzi Feki
5. Kubembea pamoja na mama yetu na watu ambao hawajui na ndio kakutana nao papo kwa papo huko Jamaica.
6. Kupayuka kwamba na yeye hamjui Mmiliki wa Dowans kwenye Mkutano wa Hadhara.
7. nk

My Take
Chadema wakiingia kwenye Mazungumzo na huyu Jamaa wanaweza kutumia hulka hii ya Jakaya kumshauri kuachia ngazi na yeye Kama Robot anaweza kuachia.
 
My Take
Chadema wakiingia kwenye Mazungumzo na huyu Jamaa wanaweza kutumia hurka hii
ya Jakaya kumshauri kuachia ngazi na yeye Kama Robot anaweza kuachia
.

Mmmh - Hili nalo neno!!! Yaani jamaa anaweza kusign certificate ya kujinyonga mwenyewe?
 
mbona na nyinyi mlisema mtaandamana nchi nzima kumbe mmejifungia mkimwandikia barua huyo Rais wenu? huu pia ni udanganyifu
 
tulijiandaa kuandamana kumbe mnaomba kukutana na mkuu wa nchi ni vigeugeu. huwezi kuaminika kwa namna hii
 
bungeni mlitoka Jk akihutubia mkasema hamtambui kama ni Rais wenu sasa mnakwenda kufanya nini huko Ikulu wakati mnasema kaiba kura zenu? huku ni kupenda kutofikirisha ubongo
 
Bajaj za JK.jpg
Hii ahadi kajitahidi kutimiza, hongera Dr Dr Dr Dr Dr Kikwete.
 
CCM hata mfanye vipi jamani mshatuchosha! Hamna mpya! hata nguo ya miaka hamsini itakuwa ilishaoza so kaeni pembeni. kazi kuwaza mitumbo yenu isiyoshiba for fifty year!
 
barua mliomwandia JK ni ya posa au katiba? mbona kelele nyingi? chadema mnatuchosha. ndio maana hata Misri walidhani wakimuondoa Hossein Mubarak mabadiliko ya kweli yanakuja sasa wanaandamana tena. kwa mwendo huu sijui kama kweli chadema mko kwa ajili ya mabadiliko ya kweli. hamuishi kulalamika kama huyo hoyo mnayesema analalakika kama sio Rais.

walikuwa hawaitaki serikali ya Mubarak lakini baada ya Mubark kuondolewa vibaraka wake ndiyo wamebaki ndiyo maana kunamaanda
 
Juzi kasema kwamba haelewi kinachoendelea Arusha zaidi tu ya kusikia kuwa Kamanda Lema ni tishio kwa mafisadi nchini.

Kama hilo halitoshi, mheshimiwa aliongeza pale uwanja wa sabasaba akihutubia Wazee wa CCM Dar kwamba hata nako kule Dodoma pia haelewi elewi vema juu ya Muswada wa Makinda na kwamba hata pale ambalo Bunge lilisema kwamba Kombani bado hajaleta Muswada bungeni na kuhitajika kuitafsiri kwanza ndio uje ukatazamwe kwa mara ya kwanza, badala yake yeye mheshimiwa anada kwa Makinda na Chami walimwambia kila kitu ni swaaari ila tu seke seke za hapa na pale Kamanda Tundu Lissu tu.

Kwa msingi huo nadhani huo muswada unaweza ukatiliwa sahihi vile vile kihivo hivo tu kwani mambo si yatajiseti tu mbele kwa mbele bana! Hao wanaharakati na CHADEMA Saed na Selemani kawadhiti vizuri sana na kisingizio cha 'Marafiki Zetu Al-Shaabab' kuweza kutugeuka na kuturudi na mabomu.
 
Yametimia....... JK aliwaambia chadema, Mtatoka mtarudi wenyewe Raisi wa nchi ni mie kwa miaka MITANO
 
mkapa, tunaomba utuambie, kikwete ni liroboti la nani?
tumuulize jenerali ulimwengu, hivi ni lini ataacha kuwagombanisha jk na mkapa? Au ndio anahisi goma analolicheza limevia nini? Huyu jenerali sitakaa nimkubali kwa mchezo huu wa kuuma nkupuliza huku akijificha nyuma ya pazia la mwenye uchngu na nchi....... Soma makala zake haishi kumtukana mkapa.... Na kumsifia jk huku akijifanya anamsahihisha wakati ni kumkejeli kwa makusudi tu..... Raia mwema kuweni wazi tu tangazeni vita na ccm once and for all ................., hamumkubali mkapa, mnamkubali jk, anapokuwa karibu na lowasa anakuwa adui yenu nininyi mna agenda gani????
 
Back
Top Bottom