Ccm bado wawapa muda wa kuatafakari wanaotuhumiwa kwa ufisadi!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm bado wawapa muda wa kuatafakari wanaotuhumiwa kwa ufisadi!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by NasDaz, Nov 25, 2011.

 1. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #1
  Nov 25, 2011
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,654
  Trophy Points: 280
  Katibu Mkuu wa CCM, MKAMA asema: "Zoezi hilo liliwahusu vingozi wote wa chamA, kuanzia chini hadi juu. viongozi wote wanaotuhumiwa na ufisadi, wajipime wenyewe, watafakari na kisha wachukue maamuzi. wassipofanya hivyo, chama kitachukua hatua."

  Mkama anakiri kwamba urais 2015 ni chanzo cha vita vilivyopo ndani ya chama.. bila shaka, anam-support EL.
  SOURCE: TBC1
   
Loading...