Tundu Lisu chunga sana utakapoenda Ikulu na makamanda wenzio | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tundu Lisu chunga sana utakapoenda Ikulu na makamanda wenzio

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by OKW BOBAN SUNZU, Nov 25, 2011.

 1. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #1
  Nov 25, 2011
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,685
  Likes Received: 17,746
  Trophy Points: 280
  Tundu Lisu kama jembe linaloumiza vichwa vya watetezi wa Magamba, hasa JK, Anne Makinda,Job Ndugai, Celina Kombani, AG, Kashililah, Wazanzibari (baada ya kupewa ukweli kuhusu ushiriki wao kwenye mchakato wa katiba). Ushahidi upo jinsi watu hawa wanavyomchukia TL waziwazi. JK alisema wazi kwnye kampeni, ni bora kuchagua Dr.Slaa kuwa rais kuliko TL kuwa mbunge. PAMOJA NA KUMUOMBEA KILA LA KHERI KTK KUSIMAMIA HAKI, AKUMBUKE PIA YALIYOMKUTA MWAKYEMBE, nikiwa na maana sio kurudi nyuma bali kuwa makini kila hatua anayopiga.
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Nov 25, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Jei kei alisema hvyo ili iweje?
   
 3. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #3
  Nov 25, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Si tu Mh. Tundu Lissu makamanda wote wanaweza kuwekewa sumu kama Mwake! Nashauri wasile wala kunywa chochote pale! kama maji wabebe yao basiiiiiiiiii!
   
 4. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #4
  Nov 25, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kamati ndogo ya cdm inayokwenda kuonana la lirais ni marufuku kula wala kunywa chochote ikulu kuna sumu huko plzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz!
   
 5. muonamambo

  muonamambo JF-Expert Member

  #5
  Nov 25, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Naunga mkono hoja hakuna kunywa maji Wala kushikana mikono na yeyote ikiwezekana vaa glove
   
 6. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #6
  Nov 25, 2011
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,685
  Likes Received: 17,746
  Trophy Points: 280
  natamani mpaka oxygen wasitumie ya ikulu
   
 7. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #7
  Nov 25, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  ha! ha! ha!
  Ikulu kuna sumu, sumu imo ikulu dont iti & dirinki zea pulizi!! we lavu u gaesi!
   
 8. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #8
  Nov 25, 2011
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,685
  Likes Received: 17,746
  Trophy Points: 280
  wasiwasi wa CC ya CCM ni juu ya uwezo wa JK kumkabili Mnyampaa Tundu Lisu, maana alionesha kumuhofia tangu kipindi cha kampeni, ndio maana wanaleta wadandiaji kuja kupoteza mda kwenye game ngumu ambayo wamekubali kushindwa
   
 9. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #9
  Nov 25, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,672
  Trophy Points: 280
  Hata MIC wasitumie wanaweza kuwafanyia kama Kolimba!
   
 10. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #10
  Nov 25, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  No. Uoga wa Jakaya ndio kete ya usalama wa Vipenzi hawa, Jakaya anajua kwamba hao
  ni kama mtoto pekee kwa mama aliyedhaniwa kuwa mjane. hawezi kuwagusa asilani,
  tumewaweka mbele zake awasumbue na polisi, vitisho, matusi, zomea zomea na kuwapitisha
  kwenye karaha kadri awezavyo kutokana na madaraka yake lakini sio kuzigusa roho zao.

  Ni ruhusa kumfanyia yeyote kati ya hao vitimbwi vya aina yoyote ile, sababu tunajua
  ndio anawaongezea ujasiri wa kusonga mbele, ndio anazidi kuwapa nguvu za kupambana

  Akigusa uhai wa yeyote kati hao wateule hapatakarika kusini, mashariki, magharibi,
  kaskazini, kati wala Zanzibar Tanzania.
   
 11. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #11
  Nov 25, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ikiwa wanauwana wenyewe wataona ugumu gani kuwapa sumu viongozi wa cdm? mkumbuke Horis Kolimba, Kigoma Malima sasa Mwakyembe ni sumu tu na inatokea ikulu! Tahadhali sana "kuna sumu ikulu be carefull"
   
 12. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #12
  Nov 25, 2011
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,685
  Likes Received: 17,746
  Trophy Points: 280
  hii ngoma naona ni kama JK anaenda kukabidhi madaraka rasmi kwa CHADEMA, ama mda wowote atakapojiuzuru au mda wake utakapoisha
   
 13. H

  Haika JF-Expert Member

  #13
  Nov 25, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Hakuna atakaewekewa sumu kuweni na amani.
   
 14. D

  Dik JF-Expert Member

  #14
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 1,205
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Naunga mkono 200%.wawe makini kwn tz bora ht somalia wanakopigan risasi klk huku kulishana sumu
   
 15. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #15
  Nov 25, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  No ni Sumu tu anakwenda kuwapulizia! me am scared bwana!!jamaa mnyama sana huyu hana huruma kabisa! anatutesa hivi wala hajali sasa atatumalizia viongozi wetu
   
 16. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #16
  Nov 25, 2011
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,685
  Likes Received: 17,746
  Trophy Points: 280
  amani ipo lakini haimaanishi tusitoe taadhari, kawa wameweza kumuua nusu Mwakyembe CCM mwenzao, watapoteza lipi kwa CHADEMA
   
 17. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #17
  Nov 25, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Duh !! Kweli mnaona mbali .Juzi nimeongea na jamaa mmoja yuko makamo wa Rais kitengo maalum anasema ana hofu kubwa na washauri wa JK kumwacha aweke mkono kwenye muswada kuwa sheria ila pia akalia sana na Mwake akasema kazeeka kabla ya wakati kwa kulishwa sumu akamalizia kwa kusema siasa za TZ mbaya .
   
 18. D

  Divele Dikalame Member

  #18
  Nov 25, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lisu kwa upande nae anapaswa kuacha jazba na kuropokaropoka yeye kama mwanasheria lazima ajitahdi kuwa na lugha za kistaarabu na za kidiplomasia zaidi na sio jazba za hovyo zinamshusha hadhi yake, asiwe kama akina Lema [mbumbumbu]wa Arusha anayewaza vurugu kila kukicha.
   
 19. A

  Ame JF-Expert Member

  #19
  Nov 25, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 3,352
  Likes Received: 659
  Trophy Points: 280
  Micro phones je vipi? Hatari ipo kila mahali bwana nyie makamanda kumbukeni ulinzi wenu uko kwa Mungu kama sivyo hata huko Ikulu unaweza usifike Mungu kukuthibitishia kuwa bila yeye kuruhusu madhara hakuna awezaye kukudhuru unless umemjaribu. Kuleni kunyweni fanyeni kila kitu huku mkikumbuka kujifunika katika damu ya Yesu inenayo mema!
   
 20. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #20
  Nov 25, 2011
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,685
  Likes Received: 17,746
  Trophy Points: 280
  ameeeeen
   
Loading...