Companero
Platinum Member
- Jul 12, 2008
- 5,609
- 1,738
"Aidha, imempongeza Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete kwa hotuba yake aliyoitoa kwa wazee wa Dar es Salaam kwa ufafanuzi na maelezo fasaha kwa mambo makubwa na ya msingi yanayolikabili taifa letu" - TAARIFA KAMILI KUHUSU MAAMUZI/MAAZIMIO YA KIKAO CHA NEC YA CCM KILICHOMALIZIKA JANA MKOANI DODOMA