Nani anayemjua kiongozi anayefaa?Je, ni wale wanaoongozwa au ni viongozi wenzake?

Common man

Member
Mar 10, 2011
15
0
Hivi karibuni rais ameteua wakuu wa mikoa. Wengi wa walioteuliwa ni wale waliokuwa wabunge na kushindwa kuhifadhi viti vyao bungeni. Ndipo nilipopata swali kati ya rais na wananchi nani anamjua kiongozi anayefaa? Lingine ambalo linafanana na hili ni mtu ameshindwa kuchaguliwa na watu wa jimbo lake lakini raisi amemteua kuongoza watu kwenye mkoa wenye watu wengi zaidi ya wale waliomkataa.Hii inakuwa vipi?
 
Back
Top Bottom