ITV: Gamba la CCM Kujadiliwa Kivingine | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ITV: Gamba la CCM Kujadiliwa Kivingine

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ng'wanangwa, Nov 25, 2011.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Nov 25, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  hii taarifa imenishitua sana. ati suala la gamba litajadiliwa kwa namna nyingine katika mifumo mingine ya kichama. swali hapa ni je, kuna mifumo mingine rasmi zaidi ya vikao vyao vya cc na nec?
   
 2. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #2
  Nov 25, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  limewashinda gamba la juzijuzi (Jairo); Watayaweza yaliyokomaa?
   
 3. BONGE BONGE

  BONGE BONGE JF-Expert Member

  #3
  Nov 25, 2011
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 3,399
  Likes Received: 1,524
  Trophy Points: 280
  ........waachane na sisi, gamba! gamba! wapandishe thamani ya pesa yetu, tujadili uchumi tuachane na mambo ya kujadili watu; Mukama anaposema ati usitake kutengeneza historia kilingana na unavyotaka wewe, mazingira ni determinant, time and space according to yeye, sasa hapa anamsema nani Lowassa! amewashinda kwa hoja huko ndani ya vikao vyao sasa anatuletea stori gani huyu naye gamba nini!!!!
   
 4. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #4
  Nov 25, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  jamaa kwa kucheza na akili za waTZ mazuzu hawajambo. eti wanadai mvutano kwenye chama chao unatokana na mbio za urais 2015.
   
 5. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #5
  Nov 25, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Wataana watajiju na magamba yao na mafisadi yao na raisi wao wa mambo ya nje
   
 6. O

  OSCAR ELIA Member

  #6
  Nov 25, 2011
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Matumaini ya wana ccm yanazidi kutoweka maana watakosa hoja za kuwajibu watani wao CDM,vikao kama cc na nec kushindwa kutekeleza maamuzi yao ya mwezi Aprili ni kuwadharau wanachama.
   
 7. MANAMBA

  MANAMBA Senior Member

  #7
  Nov 25, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 169
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivi kuna watu bado wanawaamini hawa jamaa? Suala la gamba wamelianzisha wenyewe wameishia kujikanyaga tu hakuna gamba lolote limevuliwa, hata issue ya Jairo na Luhanjo hakuna kitakachoendelea, kwani wakati wa Richmond Hosea alipogoma kujiuzulu nani alimgusa tena? Dodoma wamekutana kwa mbwembwe wametumia pesa kibao bila chochote cha maana, maazimio tu yasiyo na kichwa wala mkia. shame on them!
   
Loading...