Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tanzania inahijati Journalist (Investigative Journalists) wa namna ya huyu jamaa mwenye kuthubutu kuibua maovu yanayotendeka ndani ya nchi yetu. Ghana Gold - Africa Investigates - Al Jazeera English
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Dogo vuvuzela wa CCM Nape Nnauye leo mchana kawatolea uvivu wanataaluma wa (Tanzania Profesionals Network) kwenye summit yao iliyofanyika Mlimani City wakati yeye na Mnyika wakitoa mada ya...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
“Sisi tuliunga mkono kupitishwa kwa muswada huo bungeni siyo kwa sababu ulikuwa hauna upungufu, hapana, tuliamini na tunaamini kuna fursa ya kuufanyia marekebisho mara baada ya kuwa sheria...
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Katibu wa itikadi na uenezi ccm Nape Nauye ameapa kuliburuza mahakamani gazeti la Mtanzania kwa madai kwamba linapotosha habari za chama hicho. Source ITV na TBC1
1 Reactions
65 Replies
6K Views
Written by amini // 05/12/2011 // Habari // No comments Ndugu kwa Ndugu wakigombana chukuwa jembe ukalime , Nilazima tukubali ukweli kuwa baada ya kipindi kirefu cha mivutano na tafauti za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zilizonifikia hivi punde zinasema, Wafanyakazi wengi wa serikali hawajapata mshahara mpaka sasa, Jamaa alisema ! This month gona be disasta, si unajua Hazina walipitisha malipo ya kila...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Duru za kisiasa nchini zilikuwa zikiwaweka katika tofauti kubwa Baba wa Taifa hayati JK wa 1 na Rais wa sasa JK wa 2. Wadadisi wa mambo wanaamini kuwa JK wa 2 alimshinda kwa kura nyingi bwana BM...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kazi za msingi za chama cha siasa ni kushiriki katika chaguzi mbalimbali katika nchi, kuwafikia wananchi hasa kwa njia ya kuwaelimisha juu ya mambo kadha wa kadha yanayoendelea kuikumba nchi yao...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Na Nova Kambota Mwanaharakati, Nianze makala yangu kwa kutamka wazi kuwa sikubaliani na kauli mbiu ya miaka hamsini ya uhuru wa Tanzania bara ''tumeweza, tumethubutu, tunasonga mbele''...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nauliza watu wa Star TV mmekuwa mkiendesha midahalo lakini inapofikia mahala ambapo viongozi wetu wametudanganya kwa muda mrefu mnajidai mawasiliano mabaya. Leo yamefikia mahala Rais wa Tanganyika...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Juzi wakati natizama taarifa ya habari ITV niligutushwa na statement ya Mwandosya kuwa, na hapa natoa nukuu isiyo rasmi: ''Semeni yoooote kuwa raisi kikwete hajafanya hiki wala kile kutimiza ahadi...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Nimekuwa nikiangalia sarajkasi za kisiasa zinazoendelea tanzania, ni comedy tupu,naona kama ni siasa za kuigana ili na mimi nionekane hivi, jamani sote tulikuwepo tulishuhudia chama cha wanachi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wana nini wazee hawa wa nchi hii. Mbona wanabana sana, kila kona ya ungozi utawakuta. Tena wengine wapo tangu enzi hizo kabla ya uhuru. Wamesahau kuwa hata wao wakati wakipigania uhuru wa Taifa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ilipokuwa kupigania matunda ya ufisadi wa rada kurudishwa nyumbani......................bw. membe alikuwa mstari wa mbele na alifikia hadi kudai ya kuwa kukataa kwa serikali ya uingereza ilikuwa...
10 Reactions
50 Replies
4K Views
Askari Polisi wawili wa kituo cha Mgeta wilayani Mvomero mkoani Morogoro, wametiwa mbaroni kwa tuhuma za kumpiga Diwani wa Kata ya Kiteo, Exavery Msambara, kwa madai kwamba amekuwa akihoji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakati vyama vya Upinzani, hasa CHADEMA haitambui kazi wafanyayo Serikali ya Kikwete, taasisi kubwa ya kimataifa 'Transparency International' imethibitisha kutambua juhudi za serikali kupambana na...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Katika vyama vilivyokosa mwelekeo jamani ni CUF. Nimesikiliza TBC hapa wanasema wamempa rais mapendekezo ya kubadili mswada wakati juzi tu waliupisha wao kwa kuunga mkono asilimia mia moja. Chama...
4 Reactions
137 Replies
12K Views
Waziri wa Maji, Profesa Mark Mwandosya akielekea ukumbi wa mikutano wizarani kuzungumza na baadhi ya watendaji wakuu wa wizara na waandishi wa habari. Kushoto ni mwanawe, Emmanuel Mwadosya...
11 Reactions
82 Replies
11K Views
Taarifa za uhakika ambazo kwa siku kadhaa nimekuwa nazifanyia kazi zimethibisha kwamba Kafumu anachukua kiti cha Ngeleja na any minute Mkulu anafanya changes .Nyeti zinamwagwa kwamba Kafumu ndiye...
0 Reactions
62 Replies
7K Views
Salaam waungwana wote. Mimi nina umri wa miaka 32 sasa. kwa maana nimepitwa na Jamaa aitwae "Tanzania " Kwa miaka 18 mpaka Dec 9. NAOMBA NITOE HOJA SASA Kwenye vitabu ,Walimu wetu na hata wazee...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom