50yrs ya Uhuru (9 December) yasababisha ukata kwa wafanyakazi wa serikali na Mashirika yake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

50yrs ya Uhuru (9 December) yasababisha ukata kwa wafanyakazi wa serikali na Mashirika yake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Neng'uli, Dec 5, 2011.

 1. N

  Neng'uli Senior Member

  #1
  Dec 5, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari zilizonifikia hivi punde zinasema,
  Wafanyakazi wengi wa serikali hawajapata mshahara mpaka sasa, Jamaa alisema ! This month gona be disasta, si unajua Hazina walipitisha malipo ya kila idara kusheherekea miaka 50 ya uhuru kivyake vyake, na pesa nyingi inatakiwa kwa ajili ya tar 9, so sijui itakuwa vipi maana mpaka sasa fungu la mshahara halijatawanywa!

   
 2. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #2
  Dec 5, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hatimaye leo serikali imejitahidi kulipa mishahara tarehe 05.12.2011. Miaka 50 ya uhuru haikuwemo kwenye bajeti hivyo kugharimu serikali fedha nyingi kwa upuuzi.
  Nitafurahi sana siku serikali ikishindwa kulipa mishahara ya watumishi wake kutokana n matumizi ya kizembe na yasiyo na tija kwa taifa kama haya.
  Heko serikali kwa kujichombia kaburi kutokana na matumizi ya kipuuzi.
   
Loading...