CUF Wanachekesha; Wanapendekeza mabadiliko ya muswada...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CUF Wanachekesha; Wanapendekeza mabadiliko ya muswada...!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ibange, Dec 2, 2011.

 1. i

  ibange JF-Expert Member

  #1
  Dec 2, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Katika vyama vilivyokosa mwelekeo jamani ni CUF. Nimesikiliza TBC hapa wanasema wamempa rais mapendekezo ya kubadili mswada wakati juzi tu waliupisha wao kwa kuunga mkono asilimia mia moja. Chama gani cha siasa ambacho hakina msimamo wamebaki kufuata upepo tu? Je, chadema wasingepinga mswada leo wangeleta mapendekezo ufanyiwe marekebisho?
   
 2. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #2
  Dec 2, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Wanaugonjwa wa kucheka sijui unaitwaje vile kwa kidhungu
   
 3. MsakaGamba

  MsakaGamba JF-Expert Member

  #3
  Dec 2, 2011
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 392
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hysteria
   
 4. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #4
  Dec 2, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Hawa si walichangia bungeni na kupitisha muswada tunajua walitaka chai juice wameambulia patupu.
   
 5. M

  Molemo JF-Expert Member

  #5
  Dec 2, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  walikuwa wamesahau mambo 3 makubwa: mahakama ya kadhi,kujiunga na oic na ijumaa kuwa siku ya mapumziko
   
 6. t

  takeurabu JF-Expert Member

  #6
  Dec 2, 2011
  Joined: Jul 23, 2011
  Messages: 255
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  CUF kama Chama kikuu cha upinzani nchini lazima kitoe changamoto kwa chama tawala
   
 7. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #7
  Dec 2, 2011
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  CUF wanachekesha sana. yaani hicho ndo kiliwapeleka wakakutane na mme wao magamba. walichojadili ni sawa sawa kutoa mb*o na kuingiza p**mb*.
   
 8. Malipesa

  Malipesa JF-Expert Member

  #8
  Dec 2, 2011
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 310
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hizi ndo zile siasa alizosema RA wakati anaachia nafasi yake ya ubunge na nyinginezo (kujivua gamba).
   
 9. M

  Molemo JF-Expert Member

  #9
  Dec 2, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  hasa kusisitiza umuhimu wa dini yetu kuwemo kwenye katiba.
   
 10. Tony Almeda

  Tony Almeda JF-Expert Member

  #10
  Dec 2, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sijakuelewa! chama kikuu cha upinzani wapi? au ndoto za Hamad rashid?
   
 11. M

  Molemo JF-Expert Member

  #11
  Dec 2, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  nimecheka mbavu sina baada ya kusikia majina ya walioenda ikulu.Ni jina la Julius Mtatiro tu lina tofauti na hayo mengine.Mengine yote yaliyobaki ni yale yale ya chama chetu.Hakika tunadumisha mila!
   
 12. Biz2geza

  Biz2geza Senior Member

  #12
  Dec 2, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bado NCCR,TLP NA UDP Kupeleka maoni yao.kazi kweli kweli
   
 13. only83

  only83 JF-Expert Member

  #13
  Dec 2, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Kazi yao inaendelea..ni njia ya kuua nguvu ya CHADEMA katika hili,baadae watasema hata CUF nao wanahitaji mabadiliko katika hili kwa hiyo CHADEMA wasilazimishe..vingenevyo ni dalili mbaya kwa CUF kwa maana kwamba kuna uwezekano kuwa msimamo wa CUF ukawa tofauti kati ya CUF-Zanzibar na CUF-Bara..na hili linaonekana kupitia kauli ya Julius Mtatiro muda mfupi baada ya mswada huu kuwekwa hadharani.....kama hilo si kweli,basi hawa jamaa ni wahuni tena wanafiki wakubwa na waone aibu wakati mwingine,wanawachezea watanzania na kudhani kuwa uwezo wa watanzania kufikiri ni mdogo kiasi hicho?
   
 14. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #14
  Dec 2, 2011
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  kiongozi wa cuf bungeni angekuwa hamadi rashid asingekubali kwenda kwa jk kujidhalilisha namna hii. mnyaa hamna kitu. mmekula matapishi yenu wenyewe. msipende kuiga mtapasuka msambaa. bungeni mmepitisha muswada mkidai una maslahi kwa znz sasa iweje leo mseme mwaomba marekebisho? CUF is no longer a political party for the people.
   
 15. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #15
  Dec 2, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  David Cameroun! Uliza ingine...
   
 16. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #16
  Dec 2, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,635
  Likes Received: 1,992
  Trophy Points: 280
  usipojiangalia sana udini utaharibu mfumo wako wa kufikiri! Yaani hadi choo unakiona kimejengwa kwa system ya dini fulani.
   
 17. mawazoyangu

  mawazoyangu JF-Expert Member

  #17
  Dec 2, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 327
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Unajua hawa jamaa wanapelekeshwa na jamaa mmoja mwenye uchu wa madaraka bwana HR. nafasi yake ya kuchangia muswada wa katiba aliutumia kumponda Lisu badala ya kujenga hoja za kupinga muswada ule, wakaupitisha, umekula kwao na ndo wamegundua sasa wanajifanya wanajikakamua. :shock:Shem upon them. Ila hawa jamaa nina wasiwasi nao baadhi maana elimu yao na miswada inayopelekwa bungeni MMMMH!!! sijui. Nilishasema kuwa CUF ni bi mdogo wa CCM sasa ameona MZEE amamkaribisha Kidume home naye anataka ajitutumue ajioneshe kuwa naye ni wakaribu sana na MZEE wake. CUF na CCM mna siasa uchwara (R.A, 2011, Igunga)
   
 18. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #18
  Dec 2, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,105
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  wana hysteria
   
 19. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #19
  Dec 2, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Julius Mwenyewe naona hilo jina la kazi, ukimuangalia vizuri kwenye paji la uso ni kama vile huwa anaswali kwa kubong'oka.
   
 20. M

  Molemo JF-Expert Member

  #20
  Dec 2, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  hapana mkuu,sina udini kabisa.Nilikuwa nachambua tu majina ya waliohudhuria
   
Loading...