Nape Nnauye sasa atisha vyombo vya habari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape Nnauye sasa atisha vyombo vya habari

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Molemo, Dec 2, 2011.

 1. M

  Molemo JF-Expert Member

  #1
  Dec 2, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Katibu wa itikadi na uenezi ccm Nape Nauye ameapa kuliburuza mahakamani gazeti la Mtanzania kwa madai kwamba linapotosha habari za chama hicho. Source ITV na TBC1
   
 2. Kiungani

  Kiungani JF-Expert Member

  #2
  Dec 2, 2011
  Joined: Feb 2, 2007
  Messages: 274
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Siyo Nape, Mukama wala Kikwete wenye mamlaka ya kufungua shauri lolote la kisheria katika mahakama yoyote kwa niaba ya CCM. Hilo ni jukumu la Board of Trustee ya CCM, kwa kibali cha Mkutano Mkuu. CCM ilijifunza hayo in a hard way katika masuala ya kesi za SUKITA.
   
 3. Biz2geza

  Biz2geza Senior Member

  #3
  Dec 2, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bado anaendelea kupelekana puta na mzee wa Gatter politics?Sisi yetu Macho.
  Mytake: Hatauweza mziki wake?
   
 4. Gwallo

  Gwallo JF-Expert Member

  #4
  Dec 2, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 2,322
  Likes Received: 844
  Trophy Points: 280
  Hawezi lolote, kama kweli hoja zake zina tija E.L mbona hajavua gamba?
   
 5. Malipesa

  Malipesa JF-Expert Member

  #5
  Dec 2, 2011
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 310
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hivi majukumu/kazi ya nape nini kwa mujibu wa ajira yake?
   
 6. N

  Nchimbi J Senior Member

  #6
  Dec 2, 2011
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 132
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mima nasemaga kila siku akili ya nape ina uwezo mdogo sana...kwa kiwango cha kutotosha hata kuwa katibu mwenezi wa shina la milembe hospital hata kama wagombea ni wendawazimu wenzie.Anaongea mambo ambayo hata hajatumwa
   
 7. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #7
  Dec 2, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,577
  Likes Received: 18,553
  Trophy Points: 280
  Hata mimi nilikuwa na matumaini makubwa sana na kijana huyu kumbe ni bure kabisa!
   
 8. D

  DAR si LAMU JF-Expert Member

  #8
  Dec 2, 2011
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 2,942
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  ...Duh!
   
 9. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #9
  Dec 2, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,789
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Anamtishia BASHE maana wanakua wote kwenye vikao,mambo yote yanawekwa hadharani na gazeti mtanzania!duu vita imenoga
   
 10. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #10
  Dec 2, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,902
  Likes Received: 5,364
  Trophy Points: 280
  rostam aliagiza nape asikanyage igunga ikawa hivyo,sasa anataka kulipa kisasi kulishitaki gazeti lake??atashangaa jk atakapomwambia aliombe radhi mtanzania kwa kulichafulia jina,....this fool will never learn.
   
 11. Chakunyuma

  Chakunyuma JF-Expert Member

  #11
  Dec 2, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kwani wamepotosha nini waache kuwakomalia wakati kila chombo cha habari kimeripoti hivyohivyo au analipiza kesi ya Lema baada ya kusema wamejipanga kulichukua jimbo???? ccm acheni wanahabari wawe huru ninyi wenyewe ndio mnaotoa taarifa tata.
   
 12. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #12
  Dec 2, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  kabla hajapeleka kesi mahakamani apeleke ushahidi wa lowasa kumwita fisadi vinginevyo atavuliwa gamba yeye..hahahahaah
   
 13. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #13
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mimi najua Nape hana makosa kabisa, tatizo ni kuwa na rais kigeugeu anayemtumia Nape kama dip stik ya kupima upepo wa kisiasa. Mwenyekiti aliasisi kampeni ya kujivua gamba ambayo mpaka leo haijulikani alimananisha nini!!!!!
  Lakini mpaka isijulikane mwenyekiti alikusudia nini Nape keshagumika sana mpaka hatua hiyo. Namuonea huruma sana Nape hapendwi na mafisadi kwa sababu kawafedhehesha na anapendwa kinafiki na Mwenyekiti ambaye hana msaada na kigeugeu.
   
 14. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #14
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Katika kesi hiyo aunganishe na MwanaHalisi, Mwananchi, RaiaMwema.
  Na ikiwa hivyo CDM nayo watashitaki gazeti la Uhuru, Habari Leo. Patamu hapo,
   
 15. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #15
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  CrashWise, huyu Nape anataka kuanzisha vita asiyo iweza. Au nae awekewe washauri kama rais ili apunguze mivuke?
   
 16. BBJ

  BBJ JF-Expert Member

  #16
  Dec 2, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 1,183
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kueneza majungu,makundi na kuongea Pumba
   
 17. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #17
  Dec 2, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,350
  Likes Received: 22,195
  Trophy Points: 280
  Naona sasa Nape ameamua kumkuna masaburi Rostam kwa kulivaa kichwakichwa gazeti la Mtanzania
   
 18. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #18
  Dec 2, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Haya magazeti yanatumiwa vibaya kukichafua chama tawala. Hakuna haja ya kuvumilia huu upuuzi.
   
 19. Bob Lee Swagger

  Bob Lee Swagger JF-Expert Member

  #19
  Dec 2, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  aaah Napeee! the middle of beginning of the end!
   
 20. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #20
  Dec 3, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160

  chama chenyewe ni kichafu, kimeoza na sasa kinanuka. Magazeti yametoa habari tu.
   
Loading...