Ushauri kwa CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri kwa CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by status quo, Dec 5, 2011.

 1. status quo

  status quo Member

  #1
  Dec 5, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 81
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  kazi za msingi za chama cha siasa ni kushiriki katika chaguzi mbalimbali katika nchi, kuwafikia wananchi hasa kwa njia ya kuwaelimisha juu ya mambo kadha wa kadha yanayoendelea kuikumba nchi yao au kuanzisha maandamano ili kuelimisha wananchi,na pia kudai haki za msingi toka kwa utawala uklio madarakani. pia chama cha siasa ni sharti ku-express ideoloji yao ikiwezekana kuiandika katika maandishi ikiwa na malengo husika wa yale watakayo fanya wakishika dola, na mwisho ni ku-form coalition na vyama vingine vyenye 'common interest'.
   
 2. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #2
  Dec 5, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,255
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Mbona sijakuelewa unachomaanisha na ushauri wako mbona sijaupata vizuri!? Rahisisha nikupate vizuri!
   
 3. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #3
  Dec 5, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Bla bla! ndo maana tunaliwa tu!
   
 4. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #4
  Dec 5, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Halafu tukisema Pro. cdm humu JF wana mapungufu kwenye thread na comments zao tunaambiwa oooooh sio kweli, angalieni sasa huyu mwenzenu

   
 5. apolycaripto

  apolycaripto JF-Expert Member

  #5
  Dec 5, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 637
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Teeeeh....teeeeeh,huyu kweli ana-maintain ''status quo'' ndani ya Jf.
   
 6. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #6
  Dec 5, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,255
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  wewe sikuzote huwa unajulikana kama mwehu!
   
 7. I

  Ismaily JF-Expert Member

  #7
  Dec 5, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe ni filauni wa CCM uliyeandika hki mtu CDM hawezi kuandika hvi na mwaka huu aibu yenu,mana hata mmewenu NAPE hana makali tena ameshaolewa na Lowassa,rais wa wana CCM.
   
Loading...