Napenda kuchukua nafasi hii kukishauri chama kikuu cha upinzani kubadili mbinu ili kulinusuru taifa na matatizo makubwa huko tuendako. Kwa hali halisi ilivyo kwa sasa CCM wamezidiwa kimbinu na...
Baadhi ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Singida wamejitokeza hadharani kumpongeza Dr. Wilbrod Peter Slaa, kwa kile wanachodai anatumia hekima za uzee, na Utaratibu kuwashauri wanachama...
katibu wa bunge Thomas Kashilila amekanusha uvumi ulioenea hapa nchini kuwa posho kwa wabunge zimepanda.
Akiongea na waandishi wa habari jijini DSM leo kashilila amesema kuwa hakuna mabadiliko...
Nimeipitia katiba ya Tanzania upya, nimekuta kuna baadhi ya vipengele vya kujadili
1. Tume huru ya uchaguzi
2. Umiliki wa ardhi
Changia vingine>>>>........
Askofu Tibanenason wa Kanisa La Pentekoste Tanzania (KLPT) akiwa katika kutoa Tamko la Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara amesema "Sisi tunaunga mkono hatua ya Rais kusaini Muswada wa Marekebisha...
Tanzania 50 years old? Not yet, it's a cover-up
By Kalundi Serumaga
THE EAST AFRICAN
Posted Sunday, December 4 2011 at 16:47
Questions must be asked as to why Tanzania...
Mh Samweli Sitta ameyasema hayo wakati wa harambee ya ujenzi wa kanisa la Mt. Teresia jimbo kuu katoliki Arusha. Amesema kuwa Mh Nyalandu na Mh Lema ni vijana ambao taifa linawahitaji na wao kama...
Hbr wana Jamvi.
Nitangaze kukipenda CDM. Nilipata kadi ya CDM mwaka 2007 wakati Dr. Slaa, Prof. Baregu na wengine wengi walipofanya mdahalo ukumbi mmoja pembeni ya mliman city, eneo la survey...
MAKAMU Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Benno Malisa, ameibuka na kudai kuwa wazee ndio kiini cha mipasuko na mivutano ya kisiasa ndani ya chama hicho na taifa, huku akionya kuwa...
hiki chama kama mnakumbuka kilichukua /kilipata kura nyingi tu japo hakikuibuka na jimbo lolote . wananchi wengi wanatukubali / wanakubali chama letu . sasa Mziray twende lini ikulu kupeleka...
Tangu uchaguzi mkuu umalizike mwishoni mwa mwaka jana nimekuwa sielewi vizuri movement za chama changu kuanzia tulivyoyapokea matokeo ya urais na kilichofuatia,kuna hili la umeya wa Arusha...
Inakera sana kusikia kwamba matayarisho ya siku moja ya kusherekea uhuru yatagharimu zaidi ya Tsh. Billioni 50, hela ambazo hatuna wakati hatuwezi kuwa na umeme wa uhakika. Tunapandishiwa gharama...
Nimekuwa kwenye mdahalo leo na kumuona huyu mzee ana mwaga misemo ya pwani tu anaruka point na kukazania mawazo yake ya kichama , nimebaki najiuliza huyu naye aliwezaje kuwa waziri kwa muda mrefu...
Wakati wa kuelekea uandikwaji wa katiba mpya, katika karne ya 21 bado taifa linafikia wakati wa kutoa kibari kwa waganga wa kienyeji kupita ndani ya nyumba za watu kusaka uchawai na irizi, hii ni...
Binafsi nilikuwa nikiamini sana katika hoja nzito zilizokuwa zinatolewa na wabunge wa chadema mara kwa mara pale bungeni. Lakini kususia kujadili mjadala wa muswada tata wa katiba, kulikofanywa...
unapoona wanasiasa wengi wanafukuzia PHDs za heshima (Honoury Doctorates) ndani na nje ya nchi ni wakati mwafaka tukaanza kujiuliza ni msukumo upi unaowatuma wajidhalilishe heshima zao (kama zipo)...
Wale wote mlikua mmekusudia kuandamana kupinga mambo mbalimbali yanayofanywa na serikali mkanyimwa kibali na polisi kwa madai kuwa kuna tishio la AL-SHABAB wakati wa kuwakilisha maoni yetu umefika...
Hivi karibuni nilienda Mbeya, nikakutana na kijana wa Kisafwa aliyekuwa akiwapa burudani mafundi walio 'site' yangu. Kilio chake ni maisha magumu. Anaimba kama Lucky Dube katika wimbo wa Together...
Hi wadau mdahalo wa juu ya Muungano na Tz tunayoitaka unaendelea live star tv, yupo Mh. Khatibu, Mnyika na kiongozi wa sheria. Mdahalo unaendeshwa na bw. Ayoub.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.