Kama mlishiriki kupitisha mswada wa katiba ikulu mmefuata nini?-cuf | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama mlishiriki kupitisha mswada wa katiba ikulu mmefuata nini?-cuf

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by luckman, Dec 5, 2011.

 1. l

  luckman JF-Expert Member

  #1
  Dec 5, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Nimekuwa nikiangalia sarajkasi za kisiasa zinazoendelea tanzania, ni comedy tupu,naona kama ni siasa za kuigana ili na mimi nionekane hivi, jamani sote tulikuwepo tulishuhudia chama cha wanachi cuf kilivyoshirikiana na ccm+tlp na mb wao mmoja pamoja na cuf kupitisha kwa shangwe na vigelegele leo wameibuka eti wanaenda ikulu kutoa mapendekezo hali wawakilishi wao washasema walichotumwa na uongozi, sasa mlienda kufanya nini kama sio kuiga walichofanya wenzenu?
   
 2. M

  Marytina JF-Expert Member

  #2
  Dec 5, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,034
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Ubwabwa na vinywaji
  CCM nao wanatka kwenda ikulu kujadili muswada na JK
   
 3. l

  luckman JF-Expert Member

  #3
  Dec 5, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Si shangai, hata mrema ataenda!
   
 4. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #4
  Dec 5, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wanafiki sana hawa, hawajui watendayo!
   
 5. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #5
  Dec 5, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bado dovutwa na Mtikila nao wataomba appointment na Ikulu
   
 6. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #6
  Dec 5, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,611
  Likes Received: 3,913
  Trophy Points: 280
  ndio wameiga, ndio wanafanya sarakasi...ndio kila ulichosema...so WHAT???

  Yaani hiki ndio unaanzishia thread?? kila mtu anajua ulichoandika, leta solution ya kuindoa CCM, Chadema wameishashindwa1
   
 7. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #7
  Dec 5, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  kiitikio na kibwagizo cha Cuf ikulu kimetuchosha hakuna habari nyingine? thread yako haina jipya mods unganisha na mada zilizotangulia post haina jipya mbali na tuliokwishajadili member alikuwa amelala usingizi
   
 8. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #8
  Dec 5, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  usingizi wa fofofo una madhara mada hii imejirudia
   
 9. l

  luckman JF-Expert Member

  #9
  Dec 5, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160

  ukombozi wa nchi sio issue ya siku moja, matatizo mengi yatatokea kufika pale tunapotaka kufika, watu tutabezwa, tutazushiwa kesi, tutatukanwa, lakini mwisho wa siku ukombozi utapatikana, hivi kusema cdm wameshindwa ndo una maana gani?nani asiyejua uhalali wa ushindi wa wenzenu, kama misingi ni mibovu lazima uconcentrate kwenye ubovu ili siku zijazo ujidhatitivizuri, ona katiba, unadhani kwa nini ccm wanagomea katiba, lakini haya mapambano hatutashindwa kuendelea nayo, lazima tupambane ili tuipate tanzania tuitakayo!
   
 10. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #10
  Dec 5, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Natumaini walichoenda kufanya ikulu wacuf ni kumpa mapendekezo jk jinsi ya kukabiliana na hoja za CHADEMA,
  wakijipendekeza ya kwamba haukuwepo umuhimu wa CHADEMA kwenda ikulu na kwamba jk amefanya kosa kuwakaribisha pale magogoni. Wao walipitisha muswada na waliona hauhitaji mapendakezo ya ziada. Kwa vile wao ni ndoa na ccm walienda kulalamika kwa nini bwana wao hakuwaita wakati wa kusikiliza maoni ya CHADEMA?
   
 11. Don Mangi

  Don Mangi JF-Expert Member

  #11
  Dec 5, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,206
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Nimeipenda hiyo...sasa embu angalia kwenye msafara wao kuna watu wengine wamevaa raba na tisheti wanaenda ikulu eti kumuona raisi nikipata hizo picha nitawaonyesha wadau.
   
Loading...