Wafu wangekuwa wanafufuka. Huu ungekuwa wakati mwafaka wa NYERERE Kufufuka na kukuta JK ndio Rais | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wafu wangekuwa wanafufuka. Huu ungekuwa wakati mwafaka wa NYERERE Kufufuka na kukuta JK ndio Rais

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jumakidogo, Dec 5, 2011.

 1. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #1
  Dec 5, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Duru za kisiasa nchini zilikuwa zikiwaweka katika tofauti kubwa Baba wa Taifa hayati JK wa 1 na Rais wa sasa JK wa 2. Wadadisi wa mambo wanaamini kuwa JK wa 2 alimshinda kwa kura nyingi bwana BM mwaka 1995 kwenye mkutano mkuu wa CCM kupitisha jina la mgombea urais kwa chama hicho.

  Lakini kutokana na nguvu kubwa ya ushawishi aliyokuwa na nayo JK wa 1 akabadili matokeo na kuyapindua chini juu hatimaye bwana BM akawa rais ambapo watu wengi wanaamini kuwa awamu yake ilikwenda vizuri kuliko msimu wa bwana JK 2.

  Wadadisi wanaamini kuwa endapo JK wa 1 angekuwepo mpaka sasa, bado JK wa 2 asingepata urais kwa sababu JK wa1 hakutaka kabisa JK wa 2 ashike nafasi hiyo.

  Natamani kama wafu wangekuwa wanafufuka basi JK wa 1 angefufuka wakati huu na kukuta mtu aliyekuwa akimkataa ndiye kawa rais sijui ingekuwaje.
   
 2. s

  semako Senior Member

  #2
  Dec 5, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Angehami Upinzani
   
 3. M

  MAMENGAZI JF-Expert Member

  #3
  Dec 5, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  angetupongeza watanzania kwa kufanya maamuzi magumu
   
 4. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #4
  Dec 5, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Kwa hali inavyokwenda ndani ya CCM angefufuka definitely JK wa 1 angemchapa kofi JK wa 2.
   
 5. R

  Radi Member

  #5
  Dec 5, 2011
  Joined: May 22, 2010
  Messages: 94
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Mi nadhani angeomba arudi tena huko huko alikotoka:)
   
 6. Tony Almeda

  Tony Almeda JF-Expert Member

  #6
  Dec 5, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Angekufa tena kwa presha.
   
 7. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #7
  Dec 5, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Angelia mpaka afe kwa mara nyingine.
   
 8. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #8
  Dec 5, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  nadhani alijua ukilaza wa ******
   
 9. V

  Vonix JF-Expert Member

  #9
  Dec 5, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 1,988
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  ****** angetimka ikulu kuogopa kuonana uso kwa uso na mwalimu.
   
Loading...