Crucifix
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 1,651
- 588
Sisi tuliunga mkono kupitishwa kwa muswada huo bungeni siyo kwa sababu ulikuwa hauna upungufu, hapana, tuliamini na tunaamini kuna fursa ya kuufanyia marekebisho mara baada ya kuwa sheria, tukisema tuendeleze malumbano Katiba Mpya haitaandikwa, alisema Mtatiro. (source : Mwananchi newspaper)
Bw. Mtatiro! Hiyo fursa itatoka wapi? Ama itatolewa na nani? Lini? Na kwa namna gani?
Kuunga mkono mapungufu yaliyokusudiwa na mwenye nguvu na kutegemea mwenye nguvu huyo huyo kuyafanyia marekebisho ni upumbavu. Ni bora kuendelea na katiba ya sasa kuliko kuleta katiba mbovu zaidi.