Mwandosya akiri - JF source kupata habari alipokuwa India | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwandosya akiri - JF source kupata habari alipokuwa India

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Candid Scope, Dec 4, 2011.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG] [​IMG]
  Waziri wa Maji, Profesa Mark Mwandosya akielekea ukumbi wa mikutano wizarani kuzungumza na baadhi ya watendaji wakuu wa wizara na waandishi wa habari. Kushoto ni mwanawe, Emmanuel Mwadosya.

  Kuhusu yaliyokuwa yakisemwa juu yake:
  Waziri Mwandosya alisema pamoja na ugonjwa, alikuwa anafuatilia kwa kina kile kinachozungumzwa na Watanzania wenzake kuhusu afya na ugonjwa wake.

  Anautaja mtandao wa kijamii wa Jamii Forum kuwa ni moja ya vilivyokuwa vyanzo vyake vikubwa vya habari.

  "Nilikuwa nasoma sana.. nilikuwa naona vijana wanabishana kuhusu afya yangu, wapo aliokuwa wakiandika kuniombea nipate nafuu na nirudi nyumbani salama, lakini wapo waliosema nifie kulekule India na mwili wangu urudi ukiwa kwenye sanduku (jeneza).

   
 2. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #2
  Dec 4, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,236
  Trophy Points: 280
  Lakini hiyo siri iliyoko moyoni mwake angeileta hapa kwenye jukwaa kama na yeye ni mwanajukwaa!!
   
 3. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #3
  Dec 4, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,046
  Likes Received: 7,257
  Trophy Points: 280
  Sure!!
   
 4. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #4
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Siri ya moyoni mwake ni mambo yake binafsi na ataiongelea kwa nafasi na wakati atakaoona yeye inafaa. Ila amenikumbusha kuhusu wadau wa mtandao huu bila shaka kuanzia na mkulu mwenyewe wakuu wote ni wadau maarufu sana wa mtandao huu.
   
 5. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #5
  Dec 4, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,234
  Likes Received: 10,395
  Trophy Points: 280
  tatizo kuna wanajamvi wanapenda dhihaka na hii ni sababu ya mwandosya kuingia jamvini kimyakimya.
   
 6. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #6
  Dec 4, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,208
  Likes Received: 414,316
  Trophy Points: 280
  akianza kuuchukia ufisadi tutamwombea maisha marefu...........................kama hataacha ufisadi maisha marefu hatuwezi kumwombea kwa sababu tukimwombea tutakuwa tunajiombea wenye kuendelea na mateso haya yaliyopo.............vitu vinapanda bei holela ili kujaza mifuko isiyotosheka ya mafisadi.......
   
 7. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #7
  Dec 4, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,998
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  huyu mzee alitarajia kila member angemsifu humu ndani, afahamu tu kuwa kama yeye anavyoichungulia JF au huenda ana ID nyingine hatuifaham, vivyo hivyo mahasimu wake wa kisiasa wapo humu na wataandika kila baya linalomhusu mzee wa watu, tunashukuru amerudi mzima wa afya.
   
 8. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #8
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Hujagundua kuwa Mwandosya kuugua kwake kumesaidia kuokoka kisiasa? Ni kama Saul alipokuwa njiani kwenda kutesa waumini akatokewa na kimulimuli cha ajabu hadi kudondoka toka kwenye punda na kutua chini kisha kupofuka hadi alipoponywa na waumini aliokuwa anawatesa na kisha kubadili jina lake kuitwa Paul badala ya Saulo. Yupo njiana kuponywa mwingine ambaye ni Mwakiembe.
   
 9. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #9
  Dec 4, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Sikumbuki nilimuweka katika kundi lipi!
   
 10. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #10
  Dec 4, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tuweke kumbukumbu sawa, aliye na siri ni mwakyembe siyo huyu.
   
 11. k

  kuzou JF-Expert Member

  #11
  Dec 4, 2011
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  anasikitisha nadhani siri hiyo inahatarisha ndoto zake,
   
 12. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #12
  Dec 4, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Vizur
  kama mdau wa hapa
   
 13. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #13
  Dec 4, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,023
  Likes Received: 7,403
  Trophy Points: 280
  maelezo yako ni kama ya mtu ambaye unamshangaa Mwandosya kwa kulalamika.
  Lakini mimi katika maelezo yake sionipopote alipolalamika, bali nilichoona ni maelezo juu ya alichokisoma ha JF bila ya kuongeza hisia zake.
   
 14. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #14
  Dec 4, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,023
  Likes Received: 7,403
  Trophy Points: 280
  Je ukiweza kupunguza mahubiri na kuongea kwa kifupi sana maneno yako yatakuwa yanamaanisha nini?
   
 15. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #15
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mwandosya, ningependa cku 1 unakuwa rais wangu. Ila kupitia CCM hata ukiwa rais nchi haitafaidi kalama yako ya uongozi. Eeh Mwenyezi Mungu tuinulie mtu huyu!
   
 16. Polonium210

  Polonium210 Member

  #16
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole sana Mwandosya Nimeongoka na nimeamua kuacha Kuwamaliza
   
 17. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #17
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,419
  Likes Received: 434
  Trophy Points: 180
  hahahahaha!!! mwandosya hakujua kuwa kuna vijana wa N**E humu ndani ambao kazi yao ni uvurugaji tu! nadhani ndiyo waliomuombea arudi ndani ya jeneza!!

  tunamshukuru mungu kwa ajili yako profesa..... nadhani ungekuwa ikulu hii katiba mpya ingepatikana bila mizengwe....
   
 18. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #18
  Dec 4, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Looo hilii neno swadkta kabsa neno zima,du umenifurahisha kweli pale jamaa alikuwa anaenda kuwatesa wabaya wake akapigwa na kimulimuli hadi chini ,waliomsaidia ni wale aliokuwa anawatesa ,na ndio waliomponya du jamaa hadi akabadili jina ,inabidi niipende biblia imejaa hekima na maono mengi ,tatizo wanadamu ni akina HAMBILIKI
   
 19. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #19
  Dec 4, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  kumbe huwa anachabo humu? Bora mie sijamtakia mabaya. Kipenzi chako faiza foxy anakuwakilisha vyema jukwaani
   
 20. BBJ

  BBJ JF-Expert Member

  #20
  Dec 4, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 1,183
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Binafsi namkubali sana Prof Mwandosya. Laiti angeipata ile nafasi ya urais wakati ule tusingewajua kina Ngeleja, Jairo, Luhanjo etc, angeweka vichwa vichapakazi na viadilifu kama yeye na nchi ingesonga mbele kwa mafanikio.

  Jaribu tena Prof, WATANZANIA tunahitaji mchango wako
   
Loading...