Miaka 50 ya uhuru wazee nga'tukeni siasa, acheni vijana nao washike hatamu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miaka 50 ya uhuru wazee nga'tukeni siasa, acheni vijana nao washike hatamu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jumakidogo, Dec 5, 2011.

 1. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #1
  Dec 5, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Wana nini wazee hawa wa nchi hii. Mbona wanabana sana, kila kona ya ungozi utawakuta. Tena wengine wapo tangu enzi hizo kabla ya uhuru. Wamesahau kuwa hata wao wakati wakipigania uhuru wa Taifa hili walikuwa vijana. Sasa nao wakati umefika wa kuikabidhi nchi mikononi mwa vijana tusongeshe gurudumu la maendeleo. Vizee sasa akili zao zimechoka, zimebaki na fikra za kizamani. Watakaoandika katiba mpya lazima waweke umri wa mwisho kuitumikia siasa ili twende sawa. Hebu wazee wote mlio katika siasa tundikeni madaluga. Muda wenu umekwisha.
   
 2. H

  Heri JF-Expert Member

  #2
  Dec 5, 2011
  Joined: Aug 28, 2007
  Messages: 242
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Mwaka 2005 mlisema mnataka vijana kuongoza nchi , na vijana (JK,EL, Karamagi, Ngeleja etc) wakapewa nchi kuiongoza, Matokea yake tunaona mambo ya EPA, Richmond, Dowans, Posho za Jairo.
  Suwala siyo umri wa kiongozi bali ni uadilifu na uzalendo wake.
  Vijana wengi wanapenda njia za mkato na siyo wadillifu na wazalendo.
   
Loading...