Ukitaka kuzungumza Siasa Z,bar si sehemu yake tena, Upinzani umekufa Zanzibar kuna Kugawana wizara. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukitaka kuzungumza Siasa Z,bar si sehemu yake tena, Upinzani umekufa Zanzibar kuna Kugawana wizara.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kakke, Dec 5, 2011.

 1. Kakke

  Kakke JF-Expert Member

  #1
  Dec 5, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,797
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 180
  [h=1][/h]Written by amini // 05/12/2011 // Habari // No comments

  [​IMG]Ndugu kwa Ndugu wakigombana chukuwa jembe ukalime ,

  Nilazima tukubali ukweli kuwa baada ya kipindi kirefu cha mivutano na tafauti za kisiasa, Zanzibar ilipoteza mambo mingi tu katika jamii yake, kutokana na mivutano mikali na tafauti za kisiasa zilizo sababicha mara kwa mara umwagaji damu na watu kupoteza imani na matumaini.
  Lakini ukweli usio pingika nikuwa Smz kwa Jitihata za viongozi wake Mh Amani Abedi Karume na Maalim Seif Sharifu Bin Hamad kukaa pamoja na kukubaliana kuwa hakuna mchindi kwa Zanzibar ispokuwa mchini ni Wazanzibar wenyewe na viongozi wana majukumu tu.
  Viongozi hao na makundi mingine yalio shiriki kuwaweka pamoja Wazanzibar kutatua matatizo yao ya ndani na kunda Serekali ya Umoja wa Kitaifa (Suk) .
  Zanzibar imeweza kufanikiwa pakubwa kulete amani na mshika mano wa Wazanzibar katika maslahi ya Zanzibar na wananchi wake.
  Ndio ukaona hivi sasa Zanzibar hakuna tena siasa siasa zote zimehamia Tanzania Bara upande wa Zanzibar ambayo ni Sehemu moja ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar siasa imekufaa hivi sasa kuna kupigania maslahi ya Zanzibar na watu wake.
  Katika marekebisha ya Katiba ya watu wa Zanzibar ya 1984 kifungu cha 10 kilicho rudisha hadhi ya Zanzibar kuwa ni nchi yenye mipaka yake ilokuwa kabla ya Muungano na mikowa yake ilokuwa .
  Kipengele hishi kilileta migongano kati ya Katiba ya Muungano ya 1977 na katiba ya Zanzibar ya 1984 kuwa Zanzibar imejihalalichia kuwa ni nchi wakati ni Sehemu moja ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar.
  Mabadiliko haya ya katiba ya Zanzibar yalikuja pale Mh Pinda aliposema kuwa Zanzibar sio nchi a. na b. Ni pale Mh Pinda alipoulizwa katika maswala ya papo kwa papo kuhusu kero za Muungano na utatuzi wake vipi?.
  Mh Pinda alijibu kuwa kero za Muungano nikuvunja au kuliwa Serekali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) hii ilikuwa nikama zarau zidi ya Dola ya Zanzibar ambayo ni sehemu moja ya Muungano.
  Maswala haya waliyashukulia Wzanzibar kuwa ni maswala ya kijeuri na kibabe na zarau yasio jali kuwa Zanzibar ilikuwa Dola na mambo yake yote kabla ya Muungano wa Tanganyika ijitayo Tanzania na .
  Baada ya Mh Pinda kusema hivyo ikiwa kama yeye ni Waziri mkuu wa nchi , iliwaletea shaka kubwa sana viongozi wa Zanzibar na wananchi wa Zanzibar kwa ujumla kuhisi kuwa zarau hio na kuhisi kuwa wamepoteza na huenda kupotea Dola ya Zanzibar katika kinya cha Tanganyika ijitayo Tanzania.
  Baada ya hapo ikabidi kuwe na vikao vya zahiri na siri ili viongozi wa wakubwa wa Smz na wale wa upinzani Zanzibar (Cuf) na baadhi ya waasisi na wazee wa Zanzibar kukaa pamoja na kujadiliana hatma ya Zanzibar katika Muungano.
  Hatimae Baada ya mafanikio makubwa ya mazungumzo na vikao shabaha muhimu ilikuwa nikuondowa tafauti na mifarakano na itikadi za siasa ili kulete umoja wa Zanzibar na wananchi wa Zanzibar kwa ujumla.
  Hivi sasa zamira na mazumuni ya viongozi wa Serekali ya Umoja wa Kitaifa nikuweka mbele maslahi ya Zanzibar na Wazanzibar katika kukuza uchumi.
  Haki za Zanzibar katika Muungano.
  Hili limewekwa kuwa ndio jukumu kubwa kwa viongozi kulipigania kwa nguvu zao zote na kupata ufumbuzi wa mustakbali wa Muungano wenyewe ulivyo, hakuna shaka kuwa pande zote mbili zimekuwa na mvutano mkubwa wa mfumo wenyewe wa Muungano.
  Kuna wanaosema kuwa upande wa Zanzibar wanafaidika sana na Muungano huu kwa kutumia pesa nyingi za walipa kodi kulipa Wabunge na Mawaziri wake .
  Na kuna wengine husema vipi Wazanzibar wanaweza kumiliki ardhi na nyumba Tanzania Bara haliyakuwa Watanzania Bara hawana right hio?.
  Vipi Wazanzibar wanaweza kuchaguwa Rais wa Tanzania sisi tusiwe na right yakuchaguwa Rais wa Zanzibar?.
  Vipi Wazanzibar wanauwezo wa kuingia katika Bunge la Muungano lakini sisi hatuna uwezo wakuingia katika Bunge lao (BLW)?.
  Vipi Mzanzibar anaweza kuchaguliwa kuwa Waziri Tanzania katika wizara zisio za Muungano kama vile wizara ya mambo ya ndani ya nchi sisi tusiwe na right katika Serekali ya Smz?.
  Vipi Tanganyika ife na Zanzibar ibakie etc. yako mengi tu kwa upande wa Tanzania Bara wanataka kujuwa .
  Kero za Muungano kwa Upande wa Zanzibar
  Kwanza Wananchi wa Zanzibar wanasema kifo cha Tanganyika hawakukisababisha wao kuwa Tanganyika ife Zanzibar ibakie, hishi wanasema nikifo chakujitakia wenyewe Watanganyika.
  Katika Bunge la Tanganyika lililo kaa kwa kuongozwa na Mh Nyerere na Josef Sinde Warioba akiwa Spika wa Bunge la Tanganyika bila kushirikiswa Serekali ya Zanzibar au memba Baraza la Mapinduzi yoyote wakati huo.
  Waliokaa na kutowa mamuzi kuwa Tanganyika ife na katiba yake ilikuwa ni Wabunge wa Tanganyika wakati huo na ambao ndio wasisi na wazee wa chama wa hivi sasa na sio kweli kuwa alikuwa ni Nyerere peke yake.
  Zamira na mazumuni yakuiuwa Tanganyika na katiba yake nini?
  Lengo nikuitawala Zanzibar kimla bila kuweza kujuwa Mh Mzee Karume kuwa mwenzake alikuwa na Zamira gani, mawazo ya Nyerere na Watanganyika wenzake ni kutumia vigezo vya chuki na fitna kumpandikiza Mzee Karume ili aweze kukubali kila kirahisi Muungano bila ridhaa za wananchi.
  Kwanza kilitumika kigezo cha Usultani(Arab) na Uafrica,Uhizub na Uafro Shirazi,Upemba na Unguja na mwicho ukaja U-Cuf Pemba na U-ccm Unguja.
  Hizi zote ilikuwa ni chuki tu Wazanzibar tukipandikiziwa na kugonganiswa vichwa ili tuisalimishe Dola yetu kwa Tanganyika ijitayo Tanzania hivi sasa.
  Haya yaliendele tokea uhai wa Mwalim mbaka kufa kwake bado wako wajitao wazee wa chama wanayaendeleza,lakini faraja iliopatikana kwa Wazanzibar bada ya kipindi kirefu cha umwagaji damu na migongano ya kisiasa hivi sasa Uzanzibar kwanza Chama badae.
  Hatimae Wazanzibar wameshamshtukizia Mchawi wao nani bada ya yote hayo nimebakia kungana tena Wazanzibar na kuwa ndugu. Jemshid hakuwa Sultani alikuwa Muarabu Mzaliwa wa Zanzibar na Mfalme alio pinduliwa tu, lakini bado anayo haki ya Uzawa wa Zanzibar.
  Kujita Wazanzibar sio ubaguzi ni haki yetu ya kiasili.
  Hakuna mtu alio wakataza Watanganyika kujita Watanganyika na wala sio ubaguzi kwa vile ni fahari ya asili ya nchi yao na historia yake ,Waswahili wanasema mzarau kwao mtumwa, kusoma na kuhama vijijini sio sababu ya kuzarau kijiji shenu au kujihisi mchamba.
  Wazanzibar Wamekana kujita Watanzania kwa kuwa Tanzania sio nchi wala sio ilioungana na Zanzibar ni jina tu laubatizo Baada ya kufa Tanganyika.
  Kosa moja kubwa kwa Watanganyika wajitao Watanzania nikukubali kulishwa matabishi ya udaganyifu wa wazee wanaijitao wasisi wa ccm kuwa na kuto kuienzi Tanganyika kwa lengo la kuimeza Zanzibar ambayo imekuwa ndowana iloganda kwenye.
  Kashindwa Nyerere itakuwa waloko hivi sasa, Kubalini kuendelea kujita Watanzania na kuuza utu wa nchi yenu kwa T-shart na Kanga zakisutu ziuzwazo 300 Kariakoo halafu museme Tanganyika vipi ime Zanzibar iweko.
  Zanzibar ipo kwa sababu ya umoja wa Wazanzibar na kuto kujita Watanzania na kuona ufahari kujita Wazanzibar badala ya kujita Watanzania come from no where.
  Wazanzibar hawato vunja Muungano katu.
  Muungano utavunjwa na wale walio yavunja makubaliano mama ya Muungano(Artcle Of Union) kwa lengo lakuimeza Zanzibar na kuifanya powerless kwa kisingizio cha Zanzibar ni ndogo na ina watu kidogo.
  Baada ya nchi kubwa kuifunika ndogo imekuwa ndogo kuifunika kubwa, Sera ya Wazanzibar sio kuvunja Muungano ni kudumisha Muungano ili tuweze kuwala zaidi majuha.
  Nusura yenu na hili nikurudisha Tanganyika yenu ili kuweka ukuta wa kujuwa lipi la Muungano na lipi silo la Muungano hapa itakuwa ndio nusura yenu, laakama sio hivyo basi Wazanzibar tutakula pamoja na ccm na nyiyi Mutaimaricha Tanzania na kujita Watanzania.
  Hivi sasa Zanzibar hakuna siasa wala vyama vya siasa ,upinzani umekufa kilichoko Zanzibar hivi sasa ni Wazanzibar kugawana wizara wewe Cuf chukuwa wizara ya Biashara na viwanda mimi nachukuwa wizara ya pesa,.
  Hizi ndio sera zetu W-Zanzibar hivi sasa, na anae kosa nafasi za kuchaguliwa na Dr Shein hivi sasa Basi Mwakani 2015 ataikwaa tu.
  CCm/cuf oye Muungano udumu ili tuone vituko zaidi?
   
Loading...