Haya ya Star TV na TANESCO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haya ya Star TV na TANESCO

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ng'wabuki, Dec 4, 2011.

 1. n

  ng'wabuki Member

  #1
  Dec 4, 2011
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 80
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nauliza watu wa Star TV mmekuwa mkiendesha midahalo lakini inapofikia mahala ambapo viongozi wetu wametudanganya kwa muda mrefu mnajidai mawasiliano mabaya. Leo yamefikia mahala Rais wa Tanganyika Law Society bwana Stola mnakatisha matangazo. Nanyi TANESCO bila aibu mnakatakata UMeme tusipate hayo matangazo?

  Pili ama kwakuwa TV yenu ni ya kada wa CCM mnadhani hii ni kampeni yakumwangusha asiendelee kuwa kada? Mnaniudhi sana hamjawahi kufanya mdahalo ukaenda vizuri lazima watu tuteseke na tupate hasira ambazo hutupunguzia hata siku za kuishi. Mbona mpira toka Ulaya mnaurusha bila shida?
   
 2. KASSON

  KASSON Senior Member

  #2
  Dec 4, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Tanesco "imejaa siasa"
   
 3. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #3
  Dec 4, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Kwani umelazimishwa kuangalia?.
   
 4. ikizu

  ikizu JF-Expert Member

  #4
  Dec 4, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 431
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ndo mjue mbivu na mbichi nasi huku haionekani poleni sana
   
 5. D

  Dan08 Member

  #5
  Dec 4, 2011
  Joined: Aug 23, 2009
  Messages: 67
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Wanaboa sana...unakuta upo makini unaangalia na safari zingine umeahirisha ile utizame mdahalo,wao matangazo wanakatakata..wanaboa hah..
   
 6. SILENT ACtOR

  SILENT ACtOR JF-Expert Member

  #6
  Dec 4, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Matatizo haya star tv ni ya muda mrefu, tuseme ndo wameshindwa kabisa kurekebisha? Bora wafunge kituo kwa muda wafanye marekebisho.
   
 7. BBJ

  BBJ JF-Expert Member

  #7
  Dec 4, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 1,183
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Great thinker hua hawana majibu ya KIPUMBAVU kama yako.
   
 8. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #8
  Dec 4, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Na huu ni mwanzo na bado ile mitambo ya vyombo vya habari na mawasiliano haija anza kufanya kazi ikianza hizo tv zenu mtakuwa mnaziota ndoton 2
   
 9. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #9
  Dec 4, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Una maanisha nini ?
   
 10. K

  KakaNanii JF-Expert Member

  #10
  Dec 5, 2011
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Kwani huwajui CCM hao ! Ati wanasherehekea mika 50 ya uhuni !
   
Loading...