Tunahitaji Journalist wa namna hii

Ona ndugu yetu Muro walivyo mnyanyasa na shukuru Jamaa alianguka kwenye Ubunge akatoka serekalini unafikiri angemwachia hivi hivi wakati alimwahidi kuwa mwisho wa hii kesi itampeleka kaburini? Hao ndio viongozi wa TZ bwana

Kwahiyo investigative journalism in Tanzania si rahisi kwenye nchi za wenzetu
 
Hata hapa kwetu inawezekana mkuu. Nafikiri strategy wanzatotumia inabidi zibadilike. Kama umefuatilia hiyo link vizuri jamaa anatumia trick nyingi sana. Rafiki yangu Mgana aliniambia jamaa hajulikani kwenye public. Kimsingi nafikiri Journalist wetu wanatakiwa wajifunze kwa wanzao wanafanya nini.
 
Back
Top Bottom