Vyama visiwemo tume ya katiba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vyama visiwemo tume ya katiba

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by kingadvisor, Dec 21, 2011.

 1. kingadvisor

  kingadvisor Senior Member

  #1
  Dec 21, 2011
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Napendekeza ili tume ya kukusanya maoni iwe huru ni vizuri isishirikishe kabisa wawakilishi wa vyama vya siasa,taasisi za dini,NGOs,Vyuo Vikuu na wabunge na viongozi wa makundi kama vijana ,akina mama ,walemavu n.k bali vihusishe watu binafsi wataalamu waliobobea katika taaaluma mbalimbali kama Sheria,siasa,uchumi.mambo ya jamiii n.k.

  Lengo la kutaka hivyo ni kuwapa nafasi viongozi wa vyama na makundi wafanye mchakato wao wa kukusanya maoni kwenye vyama na makundi yao baada ya kufanya consultations na wanaowaongoza kuya-compile na kisha wawakilishe kwenye hiyo tume huru iyachambue na kuyafanyia kazi kihuru kabisa pamoja na maoni ya watanzania wengine.Sioni sababu ya wao kuwemo kwao kutaifanya tume isiwe huru sana na kutaleta mivutano mingi ndani ya tume isiyo na tija ya vuta nikuvute.Nawakilisha.
   
Loading...